Ponda hali mbaya

Ponda hali mbaya

Status
Not open for further replies.
udini hauta ondoka kwa kufa Ponda ila utaondoka ukiondoka mfumo kristo ambapo nchi itaendeshwa kwa misingi ya haki usawa na bila kujali dini za watu.. tukifika hapo udini utaondoka....
sana akifa ponda ndio matatizo yatazidi....tutachukulia ameuliwa na mfumo ambao hautaki kuona unaondoka
BADILI DINI NA UWE MKRISTO ILI UWE NA UPENDO, HEKIMA, NA uchaji mzuri wa mungu. shule zote alizotaifisha nyerere za missionary zimesomesha waislamu wengi sana haswaa Chidya, forodhani,milambo, tabora boys na tabora girls, kibasila,galanosi, minaki na pugu. kama hujakaa chini na kushukuru kwa hilo basi wewe ni mwarabu mpenda vita.
 
Ni walewale! Rudini shule wote mpate mwanga. Dunia iko huku siyo kule! Kumbuka ni karne ya 21 tunaingia ya 22 na bado mtu wa darasa la saba anakupagaisha!!! teh teh!
Wewe kwanza rudi shule ndio umwambie mwezako unafirikiria elimu ina mwisho?
 
Ponda ana pumzi ya shetani anastahili lupalabianca(silence death).
 
Pondaaaaa, ukishapona karibu SHULE. Soma kidogo tu walau mpaka Form 4 upate akili na umaana wa kile unachokipigania. Ni kama bado upo gizani vile!
FAHAMU NDUGU LEO YEYE,KESHO WEWE.SIZANI WEWE UTABAKI HAPA DUNIANI milele lazima utakufa.
 
udini hauta ondoka kwa kufa Ponda ila utaondoka ukiondoka mfumo kristo ambapo nchi itaendeshwa kwa misingi ya haki usawa na bila kujali dini za watu.. tukifika hapo udini utaondoka....
sana akifa ponda ndio matatizo yatazidi....tutachukulia ameuliwa na mfumo ambao hautaki kuona unaondoka
BADILI DINI NA UWE MKRISTO ILI UWE NA UPENDO, HEKIMA, NA uchaji mzuri wa mungu. shule zote alizotaifisha nyerere za missionary zimesomesha waislamu wengi sana haswaa Chidya, forodhani,milambo, tabora boys na tabora girls, kibasila,galanosi, minaki na pugu. kama hujakaa chini na kushukuru kwa hilo basi wewe ni mwarabu mpenda vita.
 
Kauli kama hizo hapo kwenye bold ndizo zinazowatia waislam hasira na kuona kwamba labda mfumo ulioundwa ndio uliosababisha haya yote hadi kufikia hatua ya kubezwa! Sisi wote ni watanzania hakuna haja ya kubezana, aliebahatika kusoma atumie elimu yake kuliendeleza taifa na kuandaa mipango ya kuwafanya watanzania wengi zaidi wapate nafasi za kusoma bila ubaguzi wa dini kabila au majimbo! Jamii forum members hebu tuweni na hekima tusiwe kama wale wanaokaa vijiweni kuvuta sigara na bangi...

Ndio ujinga wenu huu. Kusoma watu hawakubahatika, WALIDHAMIRIA. Unachojaribu kusema hapa ni kwamba, nyie muwe mnafundishana ujinga na chuki, huku wengine mnawapa jukumu la kubeba mizigo ya kudhorota kwenu.

Uliochotakiwa kusema hapa ni kuwa: Waislam waliosoma wawaeleweshe Waislam wenzao waliwezaje kusoma na kufika walipofika. Kama unafikiria kuna hotuba inaweza kubadilisha maisha ya mtu anayejazwa imani potofu na viongozi wa dini yake basi unajidanganya.

Fursa za kusoma zipo kwa wote, lkn hayo mawazo yenu kuwa labda mpewe upendeleo wa kuendelea mbele hata mkifeli ni utoto. Leo hii mnaandamana Dr. Ndalichako amewaonea hapa na pale, lkn cha ajabu, asilimia kubwa ya waandamani ni wale ambao watoto wao wameishia darasa la 3,4,5 na kuzamia kwenye kupiga debe. Sasa mtoto aliyekacha shule darasa la 5, NECTA imemuonea wapi?

Msipende hadithi tamu na ngonjera za manung'uniko. Kujitazama ni ada ya muungwana na mwenye hekima huzichunguza njia zake. Unapooa wake wa3 na kuzaa watoto 11 ukataraji wanaenda shule na kurudi bila wewe mzazi kujali kama wanaandika, wanafanya home-work na hata kama shuleni kwenyewe wanaingia darasani au lah halafu utegemee watafaulu eti kwa kuwa tu na wao wameenda shule miaka 7 kama mtoto wa baba John huo ni ujinga.

Kusoma ni kuamua. Nimesoma na Waislam pia na wote waliokuwa wamekusudia kusoma walisoma na wengine wakaniacha nyuma.
 
Yap! mtume keshasema kuwa kufa ni kwa kila mtu. Nitakufa tu lakini si kwa upumbafu wa kubururwa na mtu wa darasa la saba asiye na mantiki yeyote ila tu kwa sababu anatetea uislamu ambao hata naye haujui uislamu. Mtume hajatuagiza hayo ya Ponda. Ndiyo maana nasema akisoma kidogo tu walau Form IV kisha achanganye na elimu yake ya madrasa atajua kuwa anajipatia umaarufu katika ujinga wa watu wa aina yake. Uislamu siyo kufoka na kushawishi watu kwa mtindo wa Ponda.
FAHAMU NDUGU LEO YEYE,KESHO WEWE.SIZANI WEWE UTABAKI HAPA DUNIANI milele lazima utakufa.
 
Ni walewale! Rudini shule wote mpate mwanga. Dunia iko huku siyo kule! Kumbuka ni karne ya 21 tunaingia ya 22 na bado mtu wa darasa la saba anakupagaisha!!! teh teh!

Darasa la 7 wapi!? Wakati muft alisema hata kusoma hajui
 
Ndio ujinga wenu huu. Kusoma watu hawakubahatika, WALIDHAMIRIA. Unachojaribu kusema hapa ni kwamba, nyie muwe mnafundishana ujinga na chuki, huku wengine mnawapa jukumu la kubeba mizigo ya kudhorota kwenu.

Uliochotakiwa kusema hapa ni kuwa: Waislam waliosoma wawaeleweshe Waislam wenzao waliwezaje kusoma na kufika walipofika. Kama unafikiria kuna hotuba inaweza kubadilisha maisha ya mtu anayejazwa imani potofu na viongozi wa dini yake basi unajidanganya.

Fursa za kusoma zipo kwa wote, lkn hayo mawazo yenu kuwa labda mpewe upendeleo wa kuendelea mbele hata mkifeli ni utoto. Leo hii mnaandamana Dr. Ndalichako amewaonea hapa na pale, lkn cha ajabu, asilimia kubwa ya waandamani ni wale ambao watoto wao wameishia darasa la 3,4,5 na kuzamia kwenye kupiga debe. Sasa mtoto aliyekacha shule darasa la 5, NECTA imemuonea wapi?

Msipende hadithi tamu na ngonjera za manung'uniko. Kujitazama ni ada ya muungwana na mwenye hekima huzichunguza njia zake. Unapooa wake wa3 na kuzaa watoto 11 ukataraji wanaenda shule na kurudi bila wewe mzazi kujali kama wanaandika, wanafanya home-work na hata kama shuleni kwenyewe wanaingia darasani au lah halafu utegemee watafaulu eti kwa kuwa tu na wao wameenda shule miaka 7 kama mtoto wa baba John huo ni ujinga.

Kusoma ni kuamua. Nimesoma na Waislam pia na wote waliokuwa wamekusudia kusoma walisoma na wengine wakaniacha nyuma.

Hilo povu lote linatoka wapi?? mimi nimesema labda. Pamoja na maelezo yooote hayo mimi nasisitiza kwamba kubezana hakufai ndiko kunakosababisha mataifa mengi yenye asilimia karibu sawa za "waislam na wasiokua waislam" wakaingia katika vita ya wenyewe kwa wenyewe! Mimi sitafuti sababu wala visingizio kwa nini yametokea haya!!!
 
Simtetei matendo yake lakini najaribu kuimagine kama baba yangu ningeumia sana kwa hali hiyo ya afya yake, namuombea tu afya njema maana hakuna anayefurahia maradhi.
Huyu mtu angekua na akili angekua kiongozi mzuri kwa kua ni jasiri. Kutokana na ujinga anatumia ujasiri wake kugawa jamii kwa kupandikiza udini. Tumwombea apone na kutafuta kazi ya kufanya akitoka jela kwani kama kiongozi wa dini hafai.
 
Ndio inavyowafundishe dini yenu muwaombee kifo baba zenu ili mrithi mali? Ama hakika ndio sababu mnataka mahakama ya kugawa urithi kwa wake wa4 na watoto 41
Mkuu naona suala la wake wengi na watoto limekukaa kweli! waacheni waislam waijaze dunia, nyinyi zaeni mmoja tu au ikiwezekana msizae kabisa, ili muweze kuishi maisha mnayoweza kujipangia wenyewe!!
 
udini hauta ondoka kwa kufa Ponda ila utaondoka ukiondoka mfumo kristo ambapo nchi itaendeshwa kwa misingi ya haki usawa na bila kujali dini za watu.. tukifika hapo udini utaondoka....
sana akifa ponda ndio matatizo yatazidi....tutachukulia ameuliwa na mfumo ambao hautaki kuona unaondoka

Lakini si amepigwa risasi na askari wa IGP SAID MWEMA ambaye ni mteule wa ustaadh Mrisho Jakaya Kikwete? Sasa mfumo kristo unakujaje hapo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom