Ponda aachiwe mara moja - Lipumba

WanaJF na wana CDM hapa ndipo mnapokosea. Dr Ulimboka mlimlilia sana wakati alisababisha vifo vya watu wetu wengi ambao hawakuwa na hatia.... leo Prof kuishauri serikali imwachie Sheikh Ponda mnamwona ni mdini, anataka kuisilimisha Tz, na hafai kuwa Raisi? sio? Ninyi CDM mtaushawishije umma wa Kitanzania kuwa nyie si Kanisa? mlimlilia sana Mwangosi, Ulimbka kwa kuwa hawa ni miononi mwenu sio? Take it from me, You will never chance to Ikulu ...kamwe.... chimo mmelichimba wenyewe..lazima mtaliingia tu. hamna ujanja! Tutaipigia kura CCM daima kama hamtaacha ujinga wenu huu.
 
Mkuu acha unafiki. Hivi kweli huoni tofauti kati ya tamko la Chadema na la Prof. Lipumba? Hebu linganisha red katika tamko la Chadema hapo juu na green ya Lipumba hapo chini. Hapo nilipo-underline, tayari Lipumba analo jibu au hukumu! Eti ni uongo; hiyo ni kazi ya mahakama. Tofauti ya matamko hayo mawili iko very clear; lilioenda shule na la kipumbavu yanajieleza yenyewe.

Pengine tu nikuulize hili,kwani makanisa yalichomwa lini na waliochoma walieleza sababu ni nini labda na sheikh amekamatwa kwa sababu gani labda pengine tuanzie hapo,ila all in all kitu kikubwa ni kwamba chadema na lipumba wote wanataka ponda aachiwe kwa dhamana kama umesoma vizuri,then hayo mengine itakua ni kazi ya mahakama kutoa ufafanuzi baada ya kupata ushahidi wa uhusika wa ponda kwenye sintofahamu ya mbagala,nasisitiza tuwe fair katika kipindi hiki na kumpigania ponda na wenzake waipate haki yao(dhamana)kwa mujibu wa sheria za nchi sio ushabiki wa kitoto,dhamani ni haki ya raia
 
Mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba ameitaka serikali kumuachilia kwa dhamana Sheikh Ponda Issa Ponda kwani amewekwa ndani kinyume na utaratibu.
Prof Lipumba amedai kusema kwamba Sheikh Ponda alihusika na uchomaji wa makanisa ni uongo na kitendo cha kumkamata ndicho kilichochochea vurugu zilizofanyika wiki iliyopita.Amesema ili kurejesha amani na kunusuru nchi kuingia katika mfarakano ni lazima kwanza kiongozi huyo wa waislam aachiliwe huru.

Source:Mwananchi.

Mke wa lipumbavu Kwani nani
 
WanaJF na wana CDM hapa ndipo mnapokosea. Dr Ulimboka mlimlilia sana wakati alisababisha vifo vya watu wetu wengi ambao hawakuwa na hatia.... leo Prof kuishauri serikali imwachie Sheikh Ponda mnamwona ni mdini, anataka kuisilimisha Tz, na hafai kuwa Raisi? sio? Ninyi CDM mtaushawishije umma wa Kitanzania kuwa nyie si Kanisa? mlimlilia sana Mwangosi, Ulimbka kwa kuwa hawa ni miononi mwenu sio? Take it from me, You will never chance to Ikulu ...kamwe.... chimo mmelichimba wenyewe..lazima mtaliingia tu. hamna ujanja! Tutaipigia kura CCM daima kama hamtaacha ujinga wenu huu.

wewe ni mpmbf tu! Kwani kura zinapigwa na kundi 1 tu na wakina ponda pekee??
 
WanaJF na wana CDM hapa ndipo mnapokosea. Dr Ulimboka mlimlilia sana wakati alisababisha vifo vya watu wetu wengi ambao hawakuwa na hatia.... leo Prof kuishauri serikali imwachie Sheikh Ponda mnamwona ni mdini, anataka kuisilimisha Tz, na hafai kuwa Raisi? sio? Ninyi CDM mtaushawishije umma wa Kitanzania kuwa nyie si Kanisa? mlimlilia sana Mwangosi, Ulimbka kwa kuwa hawa ni miononi mwenu sio? Take it from me, You will never chance to Ikulu ...kamwe.... chimo mmelichimba wenyewe..lazima mtaliingia tu. hamna ujanja! Tutaipigia kura CCM daima kama hamtaacha ujinga wenu huu.

Mkuu hawa baadhi ya member humu jamii forum ndo wanaizamisha Chadema kabisa maana wana baadhi sifa zifuatazo,
i) Kejeli, kitu chochote ambacho kinafanya na waislam basi hata kama kina manufaa wao wanakejeli
i) Dharau, kwa mtazamo wao wanadhani kwamba wao ndio binadamu wenye akili kwa maana kwamba kingine chochote konachofanywa na mtu mwingine hususani muislam basi cha kwanza wao ni kudharau
iii) Matusi, nadhani hapa sihitaji kuelezea sana maana ukitaka ushahidi fungua thread yoyote inayohusu mtu yeyote mwenye itikadi ya kiislam utashuhudia
iv) Wanajua sana, wao ndio kila kitu hakuna mwingine

Sasa mimi nilikuwa nina ushauri ufuatao
Tanzania ni nchi kubwa sana ambayo population yake kubwz iko vijijini na ndio hao wapiga kura wengi sasa kama kila kukicha kazi kuwaponda waislam na kuwadharau kwa kila jambo wanalolifanya unategemea uingie ikulu kweli?
Hata kama mtakuja munitukane na mimi hapa lakini nasema kwa style hii Chadema hatochukua hii inchi kwa kutegemea wafuasi wenye sifa tajwa hapo juu.
Na wakumbuke wengi wao wanaofanya hayo matukio tajwa hapo juu huwa hawapigi kura mfano mwaka 2010 nilikuwa msimamizi katika moja ya kotuo cha uchaguzi, kati ya wapiga kura 400 waliofika ni 150 tu na wengi wao wakiwa vyama vingine tofauti na Chadema na wakati huo huo wafuasi wake walikuwa wanakelele sana mtaani.

Ni hayo tuu, kwa sasa!
kituo cha uchaguzi
 
We Lipumba we nani kama vipi kakae wewe una tetea ujinga na upumbavu huna sera na wala huna jipya !
 
chadema imekuwa chama cha ukiristo mno sasa, kilivyoanza nilihamasika na nilitamani kiungane na CUF ili tuing'oe CCM madarakani ila ss hv ni wazi kuwa mnasimamia kanisa na kiongozi yoyote wa kiisalm ni mdini ila wa kikristo ndio mwanademokrasia, tunapokwenda huku sipo, ila kama ni hivyo mnataka kanisa ndio litawale nchi basi ingizeni chama rasmi cha kanisa na sisi tutaingiza cha sheria na mahakama za kiislam, halafu kwa mujibu wa sensa yenu ile ya TBC mnaaminishwa kuwa nyinyi ndio wengi ila sote wenye akili timamu tunajua wengi ni kana nani, na kwa taarifa yenu tu khilafa will be back, i am sure u can read the signs egypt, mali, nigeria, middle east, somalia, kenya, tanzania, asia, russia, europe and america. Nd sisi hatuna chuki na wakiristo wala wasiokuwa waislam bali nyinyi wengi wenu mmepandikizwa chuki, soon we will rule the world peacefuly
 
pamoja na kwamba hii ni post yangu ya kwanza humu jamvini , lakini nasikitika kuona huu uzi unavyo changiwa na baadhi ya wanaojiita sijui wafuasi wa vyama vya siasa kuwa biased kwenye dini zao, nadhani ingekuwa busara wale wanasheria waje hapa watuwekee bayana kuhusiana na hili sakata na sio kutoka povu kwa kutoa comment ambazo badala ya kutatua tatizo lakini kumbe zikawa zinachochea mpasuko wa kidini.
 
Pengine tu nikuulize hili,kwani makanisa yalichomwa lini na waliochoma walieleza sababu ni nini labda na sheikh amekamatwa kwa sababu gani labda pengine tuanzie hapo,ila all in all kitu kikubwa ni kwamba chadema na lipumba wote wanataka ponda aachiwe kwa dhamana kama umesoma vizuri,then hayo mengine itakua ni kazi ya mahakama kutoa ufafanuzi baada ya kupata ushahidi wa uhusika wa ponda kwenye sintofahamu ya mbagala,nasisitiza tuwe fair katika kipindi hiki na kumpigania ponda na wenzake waipate haki yao(dhamana)kwa mujibu wa sheria za nchi sio ushabiki wa kitoto,dhamani ni haki ya raia

Na mimi nikuulize, kwani Lipumba alisikia wapi kwamba Ponda ni mtuhumiwa wa uchomaji makanisa hadi leo aanze kukanusha kwa niaba yake?
 
Tatizo hujaelewamada. Chadema inatetea kuwa Ponda ana haki ya kikatiba ya kupata dhamana. Tatizo Lipumba anaenda mbali zaidi kusema Ponda hana hatia wakati yeye si mahakama. Dhamana ni haki ya raia ila kwamba una hatia au la ni swala la kisheria si kisiasa
Umefanya vizuri maana mtu anaweza asielewe sawasawa.
 
chadema hawakutoa judgement kuwa ponda anahusika ama hawakuhusika ktk uchomaji,iweje lipumba na kauli yake...anataka kudumisha udini as usual,poor mtemi pumba

cuf si ndio chama chao! Rejea mkutano wao wa jangwani, walisema waislamu hawapendwi na vyama vingine, chama chao cuf.
 
Daktrari awe bingwa kiasi gani, akikosea tu akavaa lile koti jeupe akaingia nalo sokoni akasimama kwenye bucha, akija mteja lazima atamuulizia bei ya kilo ya nyama. Hata lingeng'aa vipi.
 
Na mimi nikuulize, kwani Lipumba alisikia wapi kwamba Ponda ni mtuhumiwa wa uchomaji makanisa hadi leo aanze kukanusha kwa niaba yake?
katika hali ya kawaida nilitegemea majibu kwanza ya nilichouliza kuliko kuwa kama kasuka kuigiza kila ninachofanya,ok anya wayz pengine ndio kilema chako maana wanasema kila binadamu ana kilema fulani,je kwa ufahamu wako labda polisi kwa nini inamshikilia ponda tena mind you kinyume cha katiba?pengine unaifahamu sababu ya wao kufanya hivyo ndio maana ungependa na unafanya jitihada za makusudi kujaibu kushabikia ubakaji huo wa haki za raia?
 
chadema imekuwa chama cha ukiristo mno sasa, kilivyoanza nilihamasika na nilitamani kiungane na CUF ili tuing'oe CCM madarakani ila ss hv ni wazi kuwa mnasimamia kanisa na kiongozi yoyote wa kiisalm ni mdini ila wa kikristo ndio mwanademokrasia, tunapokwenda huku sipo, ila kama ni hivyo mnataka kanisa ndio litawale nchi basi ingizeni chama rasmi cha kanisa na sisi tutaingiza cha sheria na mahakama za kiislam, halafu kwa mujibu wa sensa yenu ile ya TBC mnaaminishwa kuwa nyinyi ndio wengi ila sote wenye akili timamu tunajua wengi ni kana nani, na kwa taarifa yenu tu khilafa will be back, i am sure u can read the signs egypt, mali, nigeria, middle east, somalia, kenya, tanzania, asia, russia, europe and america. Nd sisi hatuna chuki na wakiristo wala wasiokuwa waislam bali nyinyi wengi wenu mmepandikizwa chuki, soon we will rule the world peacefuly

I am trying to remember who is it who said "Christianity is the religion of the most powerfull nations of this world and it will continue to be so."
 
MH MABERE NA PRO LIPUMBA mawazo yenu yanafanana acheni woga , ponda na kundi lake ni hatari kwa taifa. tena rais kwa mujibu wa nguvu alizonazo kikatiba alipaswa mtu huyu amtie kizuizini .asisumbue mahakama hivi anapompa rais masaa 26 ni halali kweli, anapokwenda kuvamia eneo la bakwata ni halali .tushukuru busara za bakwata vinginevyo hali ingekuwa mbaya. uanahamasisha uchomaji makanisa we nan? CDM na CUF acheni unafiki kwa hili.
 
Si ajabu Prof. Mapumba kusema haya kama mnakumbuka kipindi Chacha Wangwe anapata ajali na kufariki alijitokeza na kusema dereva wake ni gaidi/mamluki anatumiwa na CHADEMA na alijifunza ujuzi wa Ugaidi Libya kisa alienda huko kwa semina ya vijana! In short ni opportunist!
 
quote_icon.png
By ni_mtazamo_tu chadema imekuwa chama cha ukiristo mno sasa, kilivyoanza nilihamasika na nilitamani kiungane na CUF ili tuing'oe CCM madarakani ila ss hv ni wazi kuwa mnasimamia kanisa na kiongozi yoyote wa kiisalm ni mdini ila wa kikristo ndio mwanademokrasia, tunapokwenda huku sipo, ila kama ni hivyo mnataka kanisa ndio litawale nchi basi ingizeni chama rasmi cha kanisa na sisi tutaingiza cha sheria na mahakama za kiislam, halafu kwa mujibu wa sensa yenu ile ya TBC mnaaminishwa kuwa nyinyi ndio wengi ila sote wenye akili timamu tunajua wengi ni kana nani, na kwa taarifa yenu tu khilafa will be back, i am sure u can read the signs egypt, mali, nigeria, middle east, somalia, kenya, tanzania, asia, russia, europe and america. Nd sisi hatuna chuki na wakiristo wala wasiokuwa waislam bali nyinyi wengi wenu mmepandikizwa chuki, soon we will rule the world peacefuly

I am trying to remember who is it who said "Christianity is the religion of the most powerfull nations of this world and it will continue to be so."

ni_mtazamo_tu said unnecessarily a lot, kalabash comment wrong!
the thing is powerful nations are NOT christians but they support it so badly!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom