Ponda aachiwe mara moja - Lipumba

Nyie Pro-Chadema kwa hiyo mnataka Ponda asiachiwe.

Sidhani kama ni kweli, ila kauli ya prof inamuondoa kuwa na sifa ya kuwa rais. Anawezaje kusema Sheikh Ponda hana kosa wakati kesi iko Mahakamani?
Labda amenukuliwa sivyo, naamini kesho atakuja kukanusha.
 
Huyu mse...e ndio maana hajawa rais, hii mambo ya kusema aachiwe ili kurejesha amani ina maana wanataka kujenga mazingira kwamba sheikh ubwabwa yoyote akikamatwa aachiwe kwa kuogopa vurugu za kitoto. kachomeni st joseph muone k..... a zenu nyie muone tutakacho wafanya.
 
yaani hapa norway wakristo wanapendelewa sana
hata juzi nilikuwa italy na england nikakuta pork kwenye maduka na mabucha hii ni upendeleo sana kwa wakristo inakuwaje wale vitamu peke yao yakheeee!
 
huyu anatafuta kunyolewa tu! Kanyoe saluni kibwenzi serikali mashine zake zimeharibika kutokana na ugumu wa ndevu za farida. Au unakwepa gharama prof....? Siamini hela unayo usitafute kunyolewa dezo. Wananyoa hao!
 
dhubutu!
 

Umetumwa na watu wa DINI ile au wa CHAMA KILE ?!!! Nasikia huko Arusha Mmedundwa na Mgambo wa CCM...Mmebaki mnarembua macho....
Sasa mziki wa waislamu utaweza ?

Ok...k..... a zenu...wewe na Mchungaji wako aliyekutuma kutukana waislamu...na bibi yako...
 
Lipumba sio mahakama, Mahakama ina taratibu zake. Pia hawezi kuongelea suala hilo wkt Sheikh Ponda mwenyee alisema kwa mdomo wake ndani ya Redio iman kuwa alitoka Chang'ombe kwenye kiwanja na kwenda Mbagala na kusisitiza mali zote za waislam lazma zirudi na kupongeza kilichotoke mbagala kwa kusema sasa hivi hakuna haja ya kwenda polisi tena ni kufanya kama walivyofanya nmenukuu baadhi ya maneno yake
 
hajui kusoma alama za nyakati huyu,yeye anacheka wakati watanzania wamenuna,du lipumba kazi ni kwako
 
Hapa napo kanisa lipo kazini, waislamu kuweni makini na hizi post
subira inatakiwa.
 
Alichofanya lipumba ni kuthibitisha kuwa cuf wakichukua nchi tanzania haitakuwa sehemu salama ya kuishi,cuf inateswa na udini wa wazi kabisa. Kuzungumzia jambo lililopo mahakamani kuhukumu upande mmoja ni kosa. Cuf hawawezi kutwaa madaraka ya nchi hii, tumeshagundua mbinu zao. Na hata zanzibar wasahau.hatuwezi kuhatarisha usalama na amani ya nchi yetu kwa wanasiasa muflisi wanaotumia dini kupanda ngazi ya siasa.
 
Labda kituo cha kibanda maiti huko zenji kwa wadini
 
Ndio maana siku zote huwa najiuliza kuhusu U PROF wa huyu bwana.
 
Sidhani kama ni kweli, ila kauli ya prof inamuondoa kuwa na sifa ya kuwa rais. Anawezaje kusema Sheikh Ponda hana kosa wakati kesi iko Mahakamani?
Labda amenukuliwa sivyo, naamini kesho atakuja kukanusha.

Yeye anadhani Nchi hii haitakuwa na amani as long ponda yuko ndani, anajidanganya.ipo siku kichapo cha kweli kitatembezwa kwa yeyote anae leta vurugu za kidini ndio wajue serikali ipo.kapoteza credibility yake kabisa hususan kwa wasomi
 
mkuu naona unatumia lugha ya kikristo vipi andika kiarabu
 
Watu kama nyinyi ndo mnaizamisha Chadema na kuhakikishia hamtashinda uraisi mimi nipo hapa
Kwenda zako huko gamba mdini mkubwa wala usilete vitisho vyako unataka tunyenyekee magaidi kwaajili ya kura mwaka huu mtanyolewa ndevu sana na huyo rais wenu
 
Kwenda zako huko gamba mdini mkubwa wala usilete vitisho vyako unataka tunyenyekee magaidi kwaajili ya kura mwaka huu mtanyolewa ndevu sana na huyo rais wenu

We tukana tokwa na mapovu lakini ukweli utabaki palepale, mimi sinachama na wala sio mdini kama unadhani lakini kwa commenys za humu sasa hivi watu hawashabikii kisiasa bali kidini kwahiyo vyovyote utakavyosema but ukweli utabaki palepale
 
kama ni kweli ameyasema hayohakika huyo sheikh Lipumba ameanza kuchanganyikiwasitegemei kuna msomi yeyote au mtu yeyote mwenye akili timamu anaweza kuyatetea majitu kama PONDA na lenzie lilile lililojiteka lenyewe halafu likaanza kwadanganya waaandamanaji kuwa lilitekwa na serikali ambalo hivi sasa limenyolewa midevu yote,kama ni kweli ameyasema hao sheikh LIPUMBA lkwa pamoja tuseme R.I.P CUF
 
HATA wewe ni kanisa sema hujitambui tu wewe Vijisenti,hakika kwa kinywa chako utakuja kumkiri YESU KRISTO kuwa ndio MUNGU WAKO,usilete udini wako hapa
Hapa napo kanisa lipo kazini, waislamu kuweni makini na hizi post
subira inatakiwa.
 
Naona unatapatapa tu,okey whats your opinion kuhusu dhamana?maana ndio suala la msingi la lipumba


Hii ndiyo shida ya ilmu madrasatul inayosababisha kuendeshwa na hisia na mihemuko ya kidini; mimi nimesema nini (red hapo chini) na wewe unauliza nini hapo juu? Very low thinking capacity kumbe ndio maana hatuelewani! Sina muda wa ku-argue na kiumbe aina yako.



 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…