Pombe zinachafua sherehe hasa za Harusi!

doh mbona na mimi nilikuwa na mpango nibadilishe avatar yangu isije mkanishambulia kama mlivyomshambulioa @ytized sasa au nikupe kazi hiyo ya kunichagulia avatar wewe???

hiyo yako inakufaa usibadili bwana mimi maua napenda naweka kila siku so uwezi ona sura ya mtu hapo
 
na utakuta watu wengine wanadiriki kusema sherehe haijapendeza kama hakunywa pombe
 

Mbona ni mehudhuria harusi nyingi tu zenye pombe lakini sijawahi kutana na mkasa kama huu?

Tatizo siyo pombe, bali tatizo ni mtumiaji. Kama mtu anaiparamia pombe kupita kiwango ambacho anaweza kustahimili, lazima atalewa na kufanya mambo ambayo hangeweza kufanya akiwa katika hali ya kawaida.

La maana ni kushauri wanywaji kutumia pombe kwa kiasi na si vinginevyo.

Hata chakula, mtu ukizidisha kuna uwezekano wa kuvimbiwa.
 
hiyo yako inakufaa usibadili bwana mimi maua napenda naweka kila siku so uwezi ona sura ya mtu hapo
duh haya bana tatizo kuna baadhi ya watu wananidefine kutokana na avatar yangu wanahisi ni babu teh teh na mtu mmoja very conseravative
 
Sijui kwanini avatar ikibadilika huwa ni kama identity imebadilika?

Its like a different person.

Don't change bwana.
haya han sibadili tena ila hata wewe kidogo pia ulitupa shida ulivyobadilisha na kama hiyo ndo kesi sijui Excel anaebdailisha kila siku unamweka fungu gani
 
Last edited by a moderator:
Unataka watu wazima wafanye toto party, mambo ya juice na soda km nyuki!

Kuna sista yangu mmoja aliwahi kuniambia maneno kama haya kwenye harusi moja hivi,eti ''unakunywa sparleta harusini utatujazia nyuki'' mi nkanyamaza miaka miwili baadae nikasikia ameokoka na anywi tena pombe,you just wait..
 

hapo ndiyo umechemka, pombe yenyewe ni utukufu, ukienda madhabahuni hauwezi kuikosa siku ya misa.
 
Dawa usichangishe tuu. Mimi sikuweka Pombe nilikataa hata champaign. Harusi za ulevi ni karaa tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…