Kule nenda na Title ya land kabisa mwambie unampa kiwanja Bunju huko hapo atakusikiliza na ufadhili wako
Usiwe nawasi wasi mkuu zipo wakati wote
duh haya mkuu na hongera kwa kuwa maarufuHahahaaa... Ndio tunajitafutia riziki mkuu hivi... kufa kufaana. Hahahaaaaa.
hahahah hapa naomba nisitie neno nimlindie heshima rafiki yetu Tizednafikiri anakaribia kuvunja record ya kukaa muda mrefu bila ile kitu aise mpaka akiona jinsia tofauti anaruka ruka maana kichupa kimejaa mbaya
Cc Tized
kama hali imefikia huko basi kwa kweli hali yako imekuwa mbaya unahitaji tiba haraka sana otherwise unaweza kufanya kitu ambacho hatukuwahi kukitarajia kama unaweza kukifanyaHahahahahah... Kwa mara ya kwanza kashfa inanivunja mbavu. Etiii naruka ruka.. hhahahahahaaaa... ngoja mafuriko yaishe ntamtafura mrembo aliebomolewa nyumba angalau nimuhifadhi kwangu kidogo nimuone kwa ukaribu zaidi aski ipungue.
lol!! kumbe sasa hivi upo na miss chagga?? vipi sweetheart wako Karucee maji yamezidi unga ama??
Nipo jukwaa la wakubwa? au macho yangu!
duh haya mkuu na hongera kwa kuwa maarufu
hahahah hapa naomba nisitie neno nimlindie heshima rafiki yetu Tized
kama hali imefikia huko basi kwa kweli hali yako imekuwa mbaya unahitaji tiba haraka sana otherwise unaweza kufanya kitu ambacho hatukuwahi kukitarajia kama unaweza kukifanya
lol!! kumbe sasa hivi upo na miss chagga?? vipi sweetheart wako Karucee maji yamezidi unga ama??
Pombe haram
Pombe ni haram kwako, Yesu aliitengeneza, Mwamedi pia alikunywa. Utaki tunaweka mistari. Dhambi ni kuzidisha kiwango kama ilivyo kula pilau nyingi kupita kiasi ukaanza kupuu ovyo. Dhambi iko kwenye roho ya mtu na sio vitu yabisi
Unaongea nini? Au ushakunywa?
duh haya mkuu na hongera kwa kuwa maarufu
hahahah hapa naomba nisitie neno nimlindie heshima rafiki yetu Tized
kama hali imefikia huko basi kwa kweli hali yako imekuwa mbaya unahitaji tiba haraka sana otherwise unaweza kufanya kitu ambacho hatukuwahi kukitarajia kama unaweza kukifanya
lol!! kumbe sasa hivi upo na miss chagga?? vipi sweetheart wako Karucee maji yamezidi unga ama??
aisee...
Niruhusu niweke evidence kama nimelewa
Weka, si unatoa kichwani mwako? Weka tu
ooh kumbe nisamehe kwa ku misunderstand my dia,naomba radhiAfu wewe. Mimi na Tized are sweethearts of another nature.
Labda yeye ataweza kujieleza vizuri.
Lols.
Hahahaaa. Mkuu nimeshastaafu na hio mambo.. nala zangu pensheni na miss chagga pole pole.
Karucee ni kipenzi changu. Yupo kwenye mchakato wa katiba mpya tafadhali usimwondolee utulivu. Afu Karucee uhakikishe serikali zinabaki mbili au tatu tu. zaidi ya hapo hatutaki. Kama sawa, sema sawa sawa!!!!!!!!
Mr Rocky usiku mwema ndugu yangu. Ulale usingizi wa pono umenipa kashfa za kutosha. Cheers my friends!!!!!!!
sawa sawa sweetheart.Hahahaaa. Mkuu nimeshastaafu na hio mambo.. nala zangu pensheni na miss chagga pole pole.
Karucee ni kipenzi changu. Yupo kwenye mchakato wa katiba mpya tafadhali usimwondolee utulivu. Afu Karucee uhakikishe serikali zinabaki mbili au tatu tu. zaidi ya hapo hatutaki. Kama sawa, sema sawa sawa!!!!!!!!
Mr Rocky usiku mwema ndugu yangu. Ulale usingizi wa pono umenipa kashfa za kutosha. Cheers my friends!!!!!!!
doh mbona na mimi nilikuwa na mpango nibadilishe avatar yangu isije mkanishambulia kama mlivyomshambulioa @ytized sasa au nikupe kazi hiyo ya kunichagulia avatar wewe???
hahahaaaha binti avatar mauarudisha ile avatar ya mwanzo bwana
doh mbona na mimi nilikuwa na mpango nibadilishe avatar yangu isije mkanishambulia kama mlivyomshambulioa @ytized sasa au nikupe kazi hiyo ya kunichagulia avatar wewe???