Pombe ni hatari kwa uchumi

Mkuu unaongelea Pombe au ulevi?. Urusi, Uingereza na nchi nyingi za ulaya wanakunywa pombe kuliko chi yoyote Africa lakini wana uchumi mzuri, hakuna wasichokuwa nacho.

Wachaga na Wahaya pombe kwao ni kama samaki na maji, hadi zinatumika kwenye mahali.

Nakubaliana na wewe kwamba ukiwa mlevi wa kupindukia pombe itakufanya vibaya, kila kitu kwa kiasi ndio maana hata chakula ulizidisha kinakusababishia kisukari au PB, matokeo yake kifo
 
aiseee nimekuelewaaaa sana kamanda.. ndio maana siipend POMBE
 
Wewe wa maajabu mno,embu jaribu kukesha na mwanamke mpaka asubuhi,halafu jaribu kushesha kwenye pombe mpaka asubuhi,uone wapi unabaki na chenji.
 
Lugha ya picha hiyo wenye akili wameelewa,
kuna mdau mwingine akawa anasema watu wenye macho makengeza ni hatari sana kwa taifa hawachelewi kubadilisha gia angani na kuuza uchumi na mifumo ya familia kwa tamaa ya pesa na pia wanahatari nyingine katika nchi kwa kuleta ukabila na ukanda kwenye nchi. ni sawa na mdau mwingine alikuwa anasema watu wengine hatari kwenye nchi na uchumi ni wenye nywele nyeupe - mvi kichwa kizima kwani ni wanatamaa sana ya madaraka wanaweza hata kuihasi familia na na kununua kimada nyumba ndogo sababu ya tamaa ya madaraka pia wanaweza hata kuhatarisha maisha ya watu ili mradi wapate madaraka. Hawa ni watu wakuwaogopa sana katika uchumi wa taifa.
Chuma hufua chuma ni mwendo wa roho mkononi
 
Dah inasikitisha sana kuona kwamba Wa tz wengi ni wagumu wa kuelewa Bado wameshindwa kuelewa nilichoandikwa !!! Duh aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…