Pombe ni hatari kwa uchumi

Sikubaliani na hoja kwa sababu wapo wengi ninaowafahamu ambao ni walevi wa kupindukia na wanamaendeleo makubwa sana tu.
 
Pombe husababisha kukojoakojoa hovyo, ukizubaa unajikojolea. Sasa ucpime ukinywa pombe aina ya pingu na ukasahau kamba....mkeo atakiona siku hiyo
 
Sikubaliani na hoja kwa sababu wapo wengi ninaowafahamu ambao ni walevi wa kupindukia na wanamaendeleo makubwa sana tu.
Lazima usikubaliane na hoja.

Kwa sababu kichwa cha habari kinaanza na "pombe ni hatari kwa uchumi" wakati huo huo wengi kama si wote tunajua ya kwamba pombe na sigara zinachangia kwa kiasi kikubwa pato la nchi.

Iweje pombe iwe hatari kwa uchumi?.

Jiongeze.
 
Pombe ni hatari tena sana,lakini wenye kutengeza pombe ndio walipaji wakubwa wa kodi.

Toka enzi pombe ndio imekuwa sober House ya watu maskini na kuwafanya wachache kuwatawala wengi.

Kama pombe insigelikuwepo wafrika wengi wangeliwekeza makwao.
 
POMBE husababisha kuwatusi na kuwadhrau Wengine !!! Kama vile kuwaita WAJINGA, Hawana hela na nk!! Huwafanya watu wajione wanajua kizungu kwa kuogea kizungu cha ajabu ajabu bana! Ivyo ni kweli pombe sio nzuri kwa kutunza heshima yako na mahusiano mema na watu wengine!!! Kunywa kwa kiasi
 
Ungejua tbl na serengeti wanaongoza kwa kulipa kodi kubwa kuliko hata makampuni ya madini nk,ungeheshimu wapiga kilaji!!Ila kwa ulichoandika nahisi na wewe ni mtumiaji tena wa mataptap
 
Pombe sio mbaya ila watumiaji wake ndo wenye matatizo.Na ndio maana pombe ilikuwepo tangu enzi za nuhu.Pombe haikuletwa watu walewe bali ilikuwa ni mvinyo wenye ladha tofauti na kuwa fanya watu wa injoi na kusahau shida zao kwa muda.Na ndio maana ata Yesu aliwahi kuwaamini wapeni masikini pombe wazisahau shida zao
Sasa rudia kuusoma uzi vizuri kutoka kwa mtoa mada na wachangiaji wote utaelewa maana ya huu uzi
 
Umenena vema..... Nakumbuka kipindi hicho nilikuwa mwanamke cha pombe aiseeeeeee.... Namshukuru Mungu sana sana huko sipo tena..... Ni maamuzi magumu ila ukiamua inawezekana.....
Soma mawazo ya wachangiaji wote utaelewa
 
Kuna tafiti zinaonesha watanzania wengi hawakupenda kunywa POMBE, ila wamejikuta wakiishi tu kama mashetani, yote sababu ya POMBE.
 
Back
Top Bottom