Nkobe
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 2,162
- 3,164
Mkuu unaongelea Pombe au ulevi?. Urusi, Uingereza na nchi nyingi za ulaya wanakunywa pombe kuliko chi yoyote Africa lakini wana uchumi mzuri, hakuna wasichokuwa nacho.
Wachaga na Wahaya pombe kwao ni kama samaki na maji, hadi zinatumika kwenye mahali.
Nakubaliana na wewe kwamba ukiwa mlevi wa kupindukia pombe itakufanya vibaya, kila kitu kwa kiasi ndio maana hata chakula ulizidisha kinakusababishia kisukari au PB, matokeo yake kifo