pombe na nyege vimeniponza

pombe na nyege vimeniponza

Ilikuwa mida ya asubuhi, ggrrrh mara simu yangu ikaita. kuangalia mdogo wangu
Dogo: Kaka kwema, me: poa, dogo:kuna tv yangu naiuza niletee mteja, iko sehem fulani ukipata mteja mpeleke mimi nimetoka,

kweli wanangu nikapambana nikapata mteja mida fulan ya jioni, nikampeleka akaiona akanipa kibunda

Nikamwambia dogo nimeshauza je hela yako nikutumie? akaniambia utanipa kesho ila chukua k30 ya posho, nikasema unyama, nikapitia kibar kimoja hivi nikate hata konyagi ndogo,

dah likawa kosa la kiufundi, nilivyopata stimu tu nikawa najiamini kwenye hela ya watu, wanywaji wenzangu wamenielewa

pale pale k100 ikakata, haitoshi nikachukua mtoto mzuri, maana nyege zilipanda nikatoka kwenda kumgonga

ile naamka pombe baada ya kutoka kichwani kwenye laki 3 ya dogo imebaki laki moja na elfu 20

Hapa bado nipo na mtoto mzuri akili yangu imelejea nawaza sijui nampangaje, na sina hela ya kujastia mpaka mwisho wa mwezi mshahara ukitoka

hebu nipeni mbinu
pombe na nyege vimeniponza
Mwambie Tu kama ulivyoweka Uzi hapa mtaani.
 
Kawadanganye wengine ila sio mimi.
I can smell wewe ni mtu mzito sana kama sio doctor, sijui mwanasheria, something to do with social issues
Duh Uliza humu baadhi tunafahamiana.

Kama ningekuwa na brain ya kusoma udaktari au kukariri sheria, ningeringa sana usingeniongelesha.

How about mwalimu nakuwa nasshihisha mitihani ya watoto? nakesha.
 
Stress za mwalimu haziwezi ku survive humu.

Walimu wanavihoja vyao special. Na unasahihisha mitihani kila siku? 😂
 
Kuna siku niliuza kiwanja zamani nikapita Bar nikapukuta yote.
Narudi home kesho mchana maza ananichora tu,kiwanja kimeenda.
 
Hizi hizi safari lager au pombe gani mkuu
Za kawaida tu nilikua na limalaya fulani la kihindi na mzuka washkaji kibao kukakucha pale.
Dem piga sachi sana,hakuwa hata na shilingi maskini.
Na nishamkopa sana tu kabla.
 
Dah unikumbusha krismasi fulani , tulikata milioni kwa usiku mmoja , na bado asubuhi nikaenda kutoa 200k ya supu nayo tukailamba yote😅
 
Ilikuwa mida ya asubuhi, ggrrrh mara simu yangu ikaita. kuangalia mdogo wangu
Dogo: Kaka kwema, me: poa, dogo:kuna tv yangu naiuza niletee mteja, iko sehem fulani ukipata mteja mpeleke mimi nimetoka,

kweli wanangu nikapambana nikapata mteja mida fulan ya jioni, nikampeleka akaiona akanipa kibunda

Nikamwambia dogo nimeshauza je hela yako nikutumie? akaniambia utanipa kesho ila chukua k30 ya posho, nikasema unyama, nikapitia kibar kimoja hivi nikate hata konyagi ndogo,

dah likawa kosa la kiufundi, nilivyopata stimu tu nikawa najiamini kwenye hela ya watu, wanywaji wenzangu wamenielewa

pale pale k100 ikakata, haitoshi nikachukua mtoto mzuri, maana nyege zilipanda nikatoka kwenda kumgonga

ile naamka pombe baada ya kutoka kichwani kwenye laki 3 ya dogo imebaki laki moja na elfu 20

Hapa bado nipo na mtoto mzuri akili yangu imelejea nawaza sijui nampangaje, na sina hela ya kujastia mpaka mwisho wa mwezi mshahara ukitoka

hebu nipeni mbinu
pombe na nyege vimeniponza
Duuh
 
Back
Top Bottom