Kwani laki mbili ni ndogo?kisaa laki mbili
kunywa pombe maana sio akili yangu kabisaHalafu wanaenda wapi ?
Zamani niliandika humu wanywa pombe huku kikwetu kwetu wengi wao sio walevi bali malaya.Anasa na umalaya havija wahi kumwacha mjinga salama. Kwanini usingechukua hiyo shot moja ukaenda kunywea ndani?
Ilikuwa mida ya asubuhi, ggrrrh mara simu yangu ikaita. kuangalia mdogo wangu
Dogo: Kaka kwema, me: poa, dogo:kuna tv yangu naiuza niletee mteja, iko sehem fulani ukipata mteja mpeleke mimi nimetoka,
kweli wanangu nikapambana nikapata mteja mida fulan ya jioni, nikampeleka akaiona akanipa kibunda
Nikamwambia dogo nimeshauza je hela yako nikutumie? akaniambia utanipa kesho ila chukua k30 ya posho, nikasema unyama, nikapitia kibar kimoja hivi nikate hata konyagi ndogo,
dah likawa kosa la kiufundi, nilivyopata stimu tu nikawa najiamini kwenye hela ya watu, wanywaji wenzangu wamenielewa
pale pale k100 ikakata, haitoshi nikachukua mtoto mzuri, maana nyege zilipanda nikatoka kwenda kumgonga
ile naamka pombe baada ya kutoka kichwani kwenye laki 3 ya dogo imebaki laki moja na elfu 20
Hapa bado nipo na mtoto mzuri akili yangu imelejea nawaza sijui nampangaje, na sina hela ya kujastia mpaka mwisho wa mwezi mshahara ukitoka
hebu nipeni mbinu
pombe na nyege vimeniponza
HIvi huwa unalala kweli saa kumi yote hiyo ulikuwa macho?Zamani niliandika humu wanywa pombe huku kikwetu kwetu wengi wao sio walevi bali malaya.
Good morning…
Ndio maana dini zote zinakataa pombe, pombe na nidhamu havikai kwenye chumba kimojaWatu mna hatari, nidhamu ya pesa huna kabisa,
Upo mkuu?Watu mna hatari, nidhamu ya pesa huna kabisa,
Nipo mkuu, kwema hukoUpo mkuu?
Hatari sanaNdio maana dini zote zinakataa pombe, pombe na nidhamu havikai kwenye chumba kimoja
Hiyo Hela ingeenda maana Full timeIngia betpawa apo mpe argentina ashinde zaidi ya magoli mawili kisha lete ushuhuda hapa
Sio ndugu kabisa , ukiona akinywa anafanya umalaya jua ni tabia yake tu, akinywa pombe ndio anapata ujasiri wa kuifanya kwa urahisiHivi? Pombe na nyege ni ndugu
HakikaZamani niliandika humu wanywa pombe huku kikwetu kwetu wengi wao sio walevi bali malaya.
Good morning…
mlevi ni mtu gani?Zamani niliandika humu wanywa pombe huku kikwetu kwetu wengi wao sio walevi bali malaya.
Good morning…