Pombe mwanaharamu

Mie kuna wakati alikuwa ananipenda kwa ile ID yake nyingine ilaaaa 🀣 ghafla akaanza vita na mimi na sababu za kuniattack hazina kichwa wala miguu

Huwa nahisi kuna sehemu nilikoment jambo kinyume na anavyopenda
Yaani yule ana depression kali sanaπŸ˜†..kazi ipo
 
Hahaha mie kidogo nimpigie x nimwambie still nampenda and am inlove bado πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ ashukuriwe niliekuwa nae alininyanyua tukacheze mziki. Na ningeipiga ile simu
😁😁😁yeye ndo alikuacha inaonekana
 
Sijawahi kulewa,ila najijua kwa vituko vyangu,nikiona binti mpya namwaga hela kama njugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…