Pombe mwanaharamu

Huyo mwingine usimtaje tafadhali ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Manake akija hapa hataangalia ni nani kamtaja...ataanza na mimi kama nilishawahi kumuibia bwana
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†Naonaga anamuattack balaa watu8.majuzi juzi kahamia kwa mshana๐Ÿคฃ..kazi ipo
 
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†Naonaga anamuattack balaa watu8.majuzi juzi kahamia kwa mshana๐Ÿคฃ..kazi ipo

Mie kuna wakati alikuwa ananipenda kwa ile ID yake nyingine ilaaaa ๐Ÿคฃ ghafla akaanza vita na mimi na sababu za kuniattack hazina kichwa wala miguu

Huwa nahisi kuna sehemu nilikoment jambo kinyume na anavyopenda
 
Duuh kwanini sasa nyie wajanja wa dar mpo hivi aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ