Hebu leta basi alichosema kilicho sahihiBavicha bwana nadhani wanalugha yao maalum ya mawasiliano , mtu anasema hivi wao wanakuja na tafsiri yao ya kustaajabisha sana yaani mpaka unajiuliza hii wameitoa wapi.
Hebu leta basi alichosema kilicho sahihiBavicha bwana nadhani wanalugha yao maalum ya mawasiliano , mtu anasema hivi wao wanakuja na tafsiri yao ya kustaajabisha sana yaani mpaka unajiuliza hii wameitoa wapi.
Kama vipi waachane na kampeni tumwapishe Lissu wetu. wanatupotezea muda tu hawa wazee.Weka Clip bwashee tufurahi.
😅😅Baba leta video ncheke 😂😂😂😂😂
TBC wa achuja hadi live😅😅Mbona tunasikia live TBC wewe hayo umeyasikia wapi
Jina linamtesa au alikuwa kwenye paylist ya Bashiru naona majibu hayakuwa mazuri.Nimemsikia nikafikiria labda kuna Ezekiel mwingne. Kumbe ndo amechapia.
@Mshana Jr utadhani mzee kapigwa zongo ili akili ijichanganye.
Anachapia sio mchezo
Ni Yeye 2020,lazima kila kinywa kimtaje kikiwemo cha Mwenyekiti.Uzalendo umetushinda!!!Wao walinilazimisha kuzungumza...Na bado !
Kesho utaona anawaomba vyama vyote vimpe kura maaajabu hayaishi dunianHahahahahaha nmecheka sana
Anawambia watu et "Bunda walijichanganya wenyeweeee kumchagua mpinzani"
Alafu jana alisema "maendeleo hayana chama"
Huyu jamaa anatatizo kichwan, sio bure.
Bavicha jeshi kubwa.Asanteni sana Bavicha kwa kumfuatilia mheshimiwa Rais kila anapoenda
Si bora wanatizama kwenye tv vipi huko mataga mmaweka bando kumfuatilia Tundu na bado wote tutaimba wimbo mmojaAsanteni sana Bavicha kwa kumfuatilia mheshimiwa Rais kila anapoenda
Asanteni sana Bavicha kwa kumfuatilia mheshimiwa Rais kila anapoenda
TBC wanachagua muone nini,Mbona tunasikia live TBC wewe hayo umeyasikia wapi
Na bado mwaka huu mpaka maji atayaita mmaKichekesho kimetokea kwa Mheshimiwa Magufuli alipokuwa anapiga kampeni mjini Musoma.
Bila kujua akajikuta ana mpigia kampeni Ezekieli Wenje kuchaguliwa kuwa mbunge wa Rorya akidhani ndio jina LA mgombea wa CCM.
Hii inatokana na jina LA Wenje kumtesa moyoni.
Clip inafuata