Uchaguzi 2020 Pombe Magufuli amnadi Ezekia Wenje(CHADEMA) akidhani ndiye Mgombea wa CCM

Aache bangi ya tabora atumie ya tarime kichwa kinakuwa level siku nzima bila mawenge kama fela kuti vile.
 
Hivi JPM alifika Rorya? Au mnatengeza propaganda za kitoto na kujiaibisha? Maana mmekuwa kama watoto.
Mgombea uraisi akiwa kwenye mkoa, anaita wagombea wote wa mkoa huo! Kwa mfano kama alimwita Wenje akiwa Musoma ni kwa kuwa Rorya ipo Mara pia!
 
Mgombea uraisi akiwa kwenye mkoa, anaita wagombea wote wa mkoa huo! Kwa mfano kama alimwita Wenje akiwa Musoma ni kwa kuwa Rorya ipo Mara pia!
Mbona jana hatukusikia hili? Na hapo mmeandika akiwa Rorya!
 
Tulia dawa ikuingie anko Magu keshapigwa ndumba sina haja ya clip bali naifuatilia anachokifanya ktk kampeni zake yaani yupo kama kanywesha nusu kaputi vile 😂😂😂
Vipi amekuwekea hiyo clip? Unadanganywa kirahisi hivyo!
 
Kichekesho kimetokea kwa Mheshimiwa Magufuli alipokuwa anapiga kampeni mjini Musoma.

Bila kujua akajikuta ana mpigia kampeni Ezekia Dibogo Wenje kuchaguliwa kuwa mbunge wa Rorya akidhani ndio jina la mgombea wa CCM.

Hii inatokana na jina la Wenje kumtesa moyoni. Mgombea wa CCM anaitwa Jafari Wambura Chege

Ezekia Wenje aliwahi kuwa Mbunge wa Nyamagana 2010-2015 Jijini Mwanza
View attachment 1560691
Ha ha ha haaaa.. Mzee Meko alifikiri kuwa Wenje naye kaunga mkono juhudi...
 
Back
Top Bottom