Uchaguzi 2020 Pombe Magufuli amnadi Ezekia Wenje(CHADEMA) akidhani ndiye Mgombea wa CCM

@Mshana Jr utadhani mzee kapigwa zongo ili akili ijichanganye.
Anachapia sio mchezo

Hiyo ndio sababu Magufuli alipiga marufuku shughuli za kisiasa nchi nzima. Maana huwa hawezi siasa za ushindani na anapenda kuhodhi kila kitu. Sasa anapokutana na joto la ushindani huwa anapanick mpaka anaongea vitu vya ajabu. Na hapo bado, ngoja kampeni zitimie siku 30 atakuwa ametoka nje ya reli kabisa. Funga kazi ngoja ufanyike mdahalo kisha yeye awe ni sehemu ya watakaoshambuliwa, hapo ndio atapoteza nguvu kabisa. Atakuwa akipanda majukwaani itakuwa ni full kujichanganya na jazba za waziwazi.
 
Kichekesho kimetokea kwa Mheshimiwa Magufuli alipokuwa anapiga kampeni mjini Musoma.

Bila kujua akajikuta ana mpigia kampeni Ezekieli Wenje kuchaguliwa kuwa mbunge wa Rorya akidhani ndio jina LA mgombea wa CCM.

Hii inatokana na jina LA Wenje kumtesa moyoni.
Clip inafuata
Mungu yuko upande wa chadema uchaguzi huu.
 
Kwa nini hawakumpelekea kijikaratasi kumsahihisha? Nakumbuka alitaja jina la Ezekiel mara nyingi ambapo wangeelewa kuwa kuna kosa. Au ni UWOGA wa kumsahihisha kiongozi?
 
Sio bure anko karogwa 😂😂😂
Kichekesho kimetokea kwa Mheshimiwa Magufuli alipokuwa anapiga kampeni mjini Musoma.

Bila kujua akajikuta ana mpigia kampeni Ezekieli Wenje kuchaguliwa kuwa mbunge wa Rorya akidhani ndio jina LA mgombea wa CCM.

Hii inatokana na jina LA Wenje kumtesa moyoni.
Clip inafuata
 
Asanteni sana Bavicha kwa kumfuatilia mheshimiwa Rais kila anapoenda
Teh teh umekosa cha kuandika.Elezea hata kwa nini unadhani imetokea akataja jina kisha u-defend in "mbogamboga point of view"
 
Screenshot_20200906-113817.png
Screenshot_20200906-112825.png
 
37 Reactions
Reply
Back
Top Bottom