Pombe Kali na Mapenzi!

kwa nini ukimbilie huko kwenye mijipombe? Lazima utakuwa una mapungufu, halafu kero anayoipata mwenzio kwa mijiharufu ya pombe wewe hufahamu tu naomba fl1 au vc wathibitishe hapa. Kuna jamaa mmoja alikuwa anapenda sana kumtisha demu wake kwamba leo umekwisha ukija hurudi kwenu si unajua majigambo ya sisi wanaume, akilini kwa mwanaume anadhani akinywa konyagi au hizo mnazozitaja demu akija ni kudo kwa bidii na kuchelewa kufika kileleni ndo unakuwa umemtesa/umemridhisha demu au wewe ndo rijali au wewe ndo fundi wa tendo hilo kumbe akilini kwa mwanamke anawaza leo jamaa nikifika ataanza na kwa romance mara kashika hapa mara pale, kachezea hapa, kageuza hivi kanyonya hiki eeenh caress ya taratiiiibu maneno matamu, compliments kwa sana eeenh nguao zinatolewa taratiiibuu moja moja mpaka mtoto wa watu anapotea kwenye mahaba anakuwa yupo dunia nyingine sasa hapo mambo mengine yanaendelea kumbe huyo jamaa yeye demu akija akishamsaula/wakisaula kwa sababu ya drive ya mapombe yake anachojua ni penetration tuuu na bidii kwa sana tena na akimaliza basi anakoroma tuuuuuu hahahaha wenzetu hawa jamani wanahitaji tender care na si mijinguvu na mijipombe tunayotambia hapa. Kwangu pombe inaniharibia stimu kwa sababu nimeshazoe ku do kwa nafasi ya namna hii. Huwa mwenza wangu haishi kuuomba tena na tena.


thank u a lot.
 
Wana-JF, Heshima mbele!

Hivi kuna ukweli wowote kwamba ikipiga konyagi, valeur, gordon ama gin/spirit yoyote, game yake inakuwa si mchezo??????

Is it scientifically proved? Je wasiokunywa pombe inakuwaje, ama ndo iption ya KIFARU!


si ujaribu then upate majibu? miili inatofautiana
 
ole wenu mnaotumia pombe kali kuongeza ufanisi kwenye tendo la ndoa.............!
 
Kwa nini ukimbilie huko kwenye mijipombe? lazima utakuwa una mapungufu, halafu kero anayoipata mwenzio kwa mijiharufu ya pombe wewe hufahamu tu naomba FL1 au VC wathibitishe hapa. Kuna jamaa mmoja alikuwa anapenda sana kumtisha demu wake kwamba leo umekwisha ukija hurudi kwenu si unajua majigambo ya sisi wanaume, akilini kwa mwanaume anadhani akinywa konyagi au hizo mnazozitaja demu akija ni kudo kwa bidii na kuchelewa kufika kileleni ndo unakuwa umemtesa/umemridhisha demu au wewe ndo rijali au wewe ndo fundi wa tendo hilo KUMBE AKILINI KWA MWANAMKE anawaza leo jamaa nikifika ataanza na kwa romance mara kashika hapa mara pale, kachezea hapa, kageuza hivi kanyonya hiki eeenh caress ya taratiiiibu maneno matamu, compliments kwa sana eeenh nguao zinatolewa taratiiibuu moja moja mpaka mtoto wa watu anapotea kwenye mahaba anakuwa yupo dunia nyingine sasa hapo mambo mengine yanaendelea KUMBE huyo jamaa yeye demu akija akishamsaula/wakisaula kwa sababu ya drive ya MAPOMBE yake anachojua ni penetration tuuu na bidii kwa sana tena na akimaliza basi anakoroma tuuuuuu hahahaha WENZETU HAWA JAMANI WANAHITAJI tender care na si mijinguvu na mijipombe tunayotambia hapa. kwangu pombe inaniharibia stimu kwa sababu nimeshazoe ku do kwa nafasi ya namna hii. huwa mwenza wangu haishi kuuomba tena na tena.

Suala si kumkomoa Mwanamke, japo kuna wengine wenye mtazamo huo! Suala hapa ni kwa wale wanaowahi kumaliza, na hivyo kutomtendea haki mwenzio1 Yaani ukiingia tu kwenye gemu hata kipenga hakijalia ushamaliza! Na hii ndio maana nikauuliza je, kuna haja ya kupiga pombe kali ili kwenda sawa? Kuna ukweli wowote katika hili?
 
UNAJUA MASWALA MENGINE HAYAITAJI VIFUNGU!...ni common sense

usinywe valuu ukijiandaa kwamba unaenda kupiga mashine...!NI UDHAIFU MKUBWA SANA
LEO UNAKANA HII KITU??
maana ulikua unashabikia sana valuu!,
anyway hivi vitu kweli kiafya si vizuri sana, na ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi,
piga idadi ndogo tu kiafya na umfikishe mwenzi wako kunako husika,
unataka kupiga goli 7 za nini??, LOL.
 
tuelezeni ufundi wenu woooote mkimaliza tutawaambia ni nani zaidi
 
Wana-JF, Heshima mbele!

Hivi kuna ukweli wowote kwamba ikipiga konyagi, valeur, gordon ama gin/spirit yoyote, game yake inakuwa si mchezo??????

Is it scientifically proved? Je wasiokunywa pombe inakuwaje, ama ndo iption ya KIFARU!

Kwa hiyo kwa wale walokole ambao tuna-aleji na ulabu inabidi kabla ya gemu 2le ki1 kati ya hivi:
1. Supu ya pweza
2. Maziwa
3. Tende (halua vp hapa nayo?)

Au kuna kingine hapa cha kuongeza?
 
kuliko mapombe si bora utumie vodafasta ya masai chapu chapu na dada lazima akome
 
kuliko mapombe si bora utumie vodafasta ya masai chapu chapu na dada lazima akome

Kuna baa moja pale Kinondoni nje Hunters inaitwa G8.....Yaani pale unakuta watu wanakunywa bia wanashushia na mizizi fulani hivi ya kuongeza nguvu za kiume!
 
Back
Top Bottom