Halafu wewe!!!
Mbona mtandao unaongoza Tanzania haupo hapo? Basi watakua wanachakachua Mauzo.
Ina maana wewe Ukiulizwa kwanini unaenda bar utasema unataka kulipa kodi?
Ha ha ha ha ha ha ha, Mbona hata sisi tunalipa Kodi kwenye Juice?
Tungekua tunakunywa nyingi kama nyinyi ungekuta viwanda vya Juice ndo vinaongoza kwa ulipaji kodi.
mimi nataka Faida unayopata wewe kama wewe! kwa mfano ukiniuliza mimi faida ya Juice nitakupa nyingi tu.
Suala la kodi liko kila mahali.
Mkirua naona unatetea kunywa pombe na ulipa kodi.
Hivi wakitoa kodi kwenye bia utaacha kunywa kwasababu serikali haipati mapato?