Pombe inanitesa mwenzenu!

Pombe inanitesa mwenzenu!

Pombe Soda Betting Papa Sigara Unga.....hivi vilevi acha si vya kugusa kabisa. Natamani kuacha soda nashindwa kila nikiiona kwenye fridge ikitoka jasho basi nahisi kama kutetemeka lazima ninywe Pepsi Bonge hata sijui nataachaje
Uko kama mimi....yaan nisione stone tangawizi baridi, nadata..
 
Nenda sobber ya walevi..nahisi utapata msaada

Pole sana
 
U're liquor slave very sorry ila m naona fanya maamuz magumu yan hata ukiwa na hamu kiasi gan usinywe mwishowe utazoea ujue hya mambo n kuamua tu m najua kuachq unaeza sema ww kinachokuharbu ukiwa na hamu unaanza kusema ooh nnakunywa kdogo stalewa ndo maana unakuta unarudia kule kule sasa ww emu jkataze kabisa again pole sana *liquor slave*
 
Alone mkuu,zamani nlikua mkemia mkuu..balimi,jibapa,henenga mnyama mkali,hakuna nisichokunywa..ila nowdayz napiga wine ila glass moja tu akili zinachange!


basi ww huna kichwa cha pombe..yan wine glas 1 unawehuka?jitahidkukubali umefeli..acha tu
 
Huyu jamaa anafanya jokes tuu, walevi wote huwa wanapenda pombe sanaaaa na inakua tamu balaaaaaa, na wengine huwa nanakunywa kwa reason fulan. Na huwa atufikiliii kuacha maana ndo best thing ya mlevi dunian sasa wew chagua kimoja unacho penda. Ulevi au maendeleo full stop ukipenda vyote ongeza plans za kusaka money ndio suruhsho
 
Fanya mazoezi sana na huwe MTU wa kujisomea vitabu au ujenge tabia ya kuperuzi sana coz pombe na maandishi ni vitu tofauti
 
Back
Top Bottom