Kwanza ndio unapata ofa nyingi SanaPombe isikie tu!! Ikiamua kukungangania ni noma! Inakuwa kama ina akili,ukisema unaacha,ukajitahidi kutulia siku mbili/tatu,spidi utakayorudi nayo ni ya hatari!
Umri unaruhusu pombeka mkuu januari hadi disemba. Mimi huwa nalewa mwaka mzima,mchana naweka silence.30 yzr now
Kha!! Na shughuli zinaenda kama kawa? Hebu niambie sasa hivi uko pombe hapo ulipo?Umri unaruhusu pombeka mkuu januari hadi disemba. Mimi huwa nalewa mwaka mzima,mchana naweka silence.
Ndio maana wazungu wakatengeneza kitu kinaitwa "rehabilitation centers" au unaweza kuziita Rehab watu kama wakina chriss brown wamehaki kupelekwa huko. kama kuna dawa ya kunywa ukaweza kuacha wengi wengekunywa hio. Kaka si kazi rahisi kuacha kaka, unaweza kusema sasa nawacha lakini si rahisi kihivyo, ndo maana unakuta wengine wakishapiga vyombo wanalia tuu. Si rahisi hata kidogo.
..Pombeka mkuu.Asee nami nilianza mwaka mpya! Mwaka unaisha sasa cna nlichokifanya![]()
Kwan maafande hawanywagi?![]()