Usiniambie huelewi mkuu kuwa wanawake ni hatari kuliko kilaji. Nakushauri endelea na kilaji hakina shida wanawake watakuua mapema..kwann mkuu??
Wakina nani tena mkuu wakuje?ngoja wakuje!!
Mkuu watakuja kuleta vurugu si unawajua balaa lao lakini.Wanawake.ova
Hahah!! Mabiriani yapi mkuu? Maana siku hizi kuna aina nyingine ya biriani..
wacha kwanza wamalize kutuandalia mabiriani
Sawa mkuu.Unayoyajua ww!
jana pombe ingenifanya nikose issue ya maana sana. nilienda bar kugonga supu nitoe wenge nikaanza kula vyombo castle lager kubwa nafika ya tatu jamaa ananipigia niende ofisini faster. nikamwambia nipo around kumbe nipo mbali kwelikweli. nikapanda gari nafika anataka kutoka . nilijisikia aibu na kujiona sipo serious hata na mambo yangu mwenyewe. pombe we pombe sio nzuri inaharibu mambo mengi sana. kuchelewa kufika maeneo muhimu na kunuka pombe asubuhi, kuwa dis organzed nkPole sana.
Kama ni mkristo nenda kwenye makanisa ya kiroho, yatakusaidia kuacha. Lakini pia kupanga ni kuchagua, ukiamua kuacha unaweza
Mkuu ukipata tatizo LA figo mbona utaacha kwa lazimaWadau pombe imekua ikinitesa mda mrefu sasa,imenirudisha sana nyuma kimaendeleo,wanawake wananikimbia na wakati mwengine nashindwa hata kufanya kazi zangu pia network zinakata na najikuta natukana na kufanya mambo ya ajab ajabu,hua naacha kwa week 1 then narudi kwa kas ya 4G,naomba mdau yeyote aliewahi kuacha,aliyenaushauri au mwenye dawa ya kuacha hii mboyoyo anisaidie.Nahitaji msaada wenu wadau,dhihaka sio mahali pake! Ahsanten.
kama unautaji wa kuacha kabisa njoo PMWadau pombe imekua ikinitesa mda mrefu sasa,imenirudisha sana nyuma kimaendeleo,wanawake wananikimbia na wakati mwengine nashindwa hata kufanya kazi zangu pia network zinakata na najikuta natukana na kufanya mambo ya ajab ajabu,hua naacha kwa week 1 then narudi kwa kas ya 4G,naomba mdau yeyote aliewahi kuacha,aliyenaushauri au mwenye dawa ya kuacha hii mboyoyo anisaidie.Nahitaji msaada wenu wadau,dhihaka sio mahali pake! Ahsanten.
Hongera sanaAs long umedhamiria kuacha kutoka moyoni basi utaacha.Lkn pia ukipata mtu atakae kusaidia ktk hilo utafanikiwa ndugu.lkn pia nenda kwny maombi,Mungu hashindwi na jambo lolote.
Nilikuwa na boyfrnd wangu ambapo kbl ya kuwa na reltshp nae,alikuwa ni mlevi kuliko kawaida,kwa siku moja aliweza kumaliza cret moja la bia,mpk alianza kuwa mzee na sura kukongoroka,alishindwa kupiga hatua kimaisha ukilinganisha na umri wake(32 yrs),baada ya kuanza mahusiano nae nilianza kumsaidia ili aache pombe ,alionyesha dhamira ya kuacha na mwisho wa siku aliacha ingawa sio kitendo cha ghafla,ilichukua muda kdg lkn mwisho aliacha kbs.
kama unautaji wa kuacha kabisa njoo PM
😂😂😂😂Nnampango wa kuacha Pasaka hii mkuu,ngoja nikazemue ya mwisho mwishoo.![]()