NaughtyGuy
JF-Expert Member
- Nov 10, 2017
- 1,747
- 1,944
Pombe Soda Betting Papa Sigara Unga.....hivi vilevi acha si vya kugusa kabisa. Natamani kuacha soda nashindwa kila nikiiona kwenye fridge ikitoka jasho basi nahisi kama kutetemeka lazima ninywe Pepsi Bonge[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26] hata sijui nataachaje