Satan
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 2,065
- 3,332
Kabla hujalala, sema sitaki kunywa pombe mara 200. Na ukiamka sema hivyo hivyo kimoyo moyo mara 200. useme kwa hisia kali sana huku ukikumbuka madhara yaliyotokea, mademu wakali uliopoteza, masela walivyokudharau na mambo mengine mengi mabaya yaliyosababishwa na pombe. Na wakati unafanya hivyo uwe umekusudia kwa dhati kuacha.
Fanya hivyo kwa mwezi mmoja, utabadilika..kwani pombe utaichukia kuliko unavyomchukia shetani.
Usipobadilika, nna njia mbadala...
Satan
Fanya hivyo kwa mwezi mmoja, utabadilika..kwani pombe utaichukia kuliko unavyomchukia shetani.
Usipobadilika, nna njia mbadala...
Satan

