Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 13,831
- 20,241
Kula gambe bossSio Mara zote nakunywa kwa furaha mkuu wakati mwingne hasara tu. Sema kuacha sasa.
Kula gambe bossSio Mara zote nakunywa kwa furaha mkuu wakati mwingne hasara tu. Sema kuacha sasa.
Yeaah , Wanawake kuna umri wao wa kustahereka ,hapo atataka mtu wakumstarehesha ,km unakunywa pombe sio inshu kwakeKabisa namuona mama.bora
Emu mwenye uzi aje hapa atwambie pombe zinamfanyaje maana wengine wanakunywa pombe na wapo vizuri kwenye majukumu yaoKuna Umri ukifika unaachana na na UJANA ili mambo yaende.
Mwanamke wako anakutaka uwe Mwanaume Bora ambaye utakua mfano kwa watoto wako.
Hataki baadae watoto wakuone baba ni chapombe.
Kwa sasa hamna watoto nalabda upo kwa age ya 28-35 huwez ona tatizo.
Subiri ukishagonga 40 , ndo utajua kwann mkeo alikua anakukataza .
Kuacha huwezi kwani oksijeni hiyo wewe jamaa!!...Sio Mara zote nakunywa kwa furaha mkuu wakati mwingne hasara tu. Sema kuacha sasa.
Kumbe mtu mwenyewe unakunywa mara tatu kwa mwezi ?Sio mzee
Iko hivi yy hapendi ninywe haijarishi nilewe au nionje na matumizi ndani nafanya kama.kawaida. nmvisha namlisha kila.kitu yani. Yy anachukia kitu kunywa pombe basiEmu mwenye uzi aje hapa atwambie pombe zinamfanyaje maana wengine wanakunywa pombe na wapo vizuri kwenye majukumu yao
Hayo ndo yale mambo ya kutaka kumbadilisha mtu baada ya ndoa,we mtu ulimkuta anakunywa mkishaoana unasema mi sitaki mwanaume anayekunywa pombe je wasokunywa pombe hukuwaona???hyo ipo juu yako mkuuIko hivi yy hapendi ninywe haijarishi nilewe au nionje na matumizi ndani nafanya kama.kawaida. nmvisha namlisha kila.kitu yani. Yy anachukia kitu kunywa pombe basi
Umeona sasa mkuu Nina mwaka mzima tunaishi hajakwama chochote.Hayo ndo yale mambo ya kutaka kumbadilisha mtu baada ya ndoa,we mtu ulimkuta anakunywa mkishaoana unasema mi sitaki mwanaume anayekunywa pombe je wasokunywa pombe hukuwaona???hyo ipo juu yako mkuu
Usiombe umwendekeze mwanamke atakuendesha kama gari bovuuUmeona sasa mkuu Nina mwaka mzima tunaishi hajakwama chochote.
Kwa habari za kunyapia nyapiaEmu mwenye uzi aje hapa atwambie pombe zinamfanyaje maana wengine wanakunywa pombe na wapo vizuri kwenye majukumu yao