Pombe inaharibu mahusiano yangu

Kuna Umri ukifika unaachana na na UJANA ili mambo yaende.

Mwanamke wako anakutaka uwe Mwanaume Bora ambaye utakua mfano kwa watoto wako.

Hataki baadae watoto wakuone baba ni chapombe.

Kwa sasa hamna watoto nalabda upo kwa age ya 28-35 huwez ona tatizo.

Subiri ukishagonga 40 , ndo utajua kwann mkeo alikua anakukataza .
Emu mwenye uzi aje hapa atwambie pombe zinamfanyaje maana wengine wanakunywa pombe na wapo vizuri kwenye majukumu yao
 
Ishi,tatizo siyo wewe tatizo ni mke wako
Kama anataka mwanaume asokunywa pombe walokole wapo wengi
Kama pombe ndo starehe yako?au ukinywa huwa anakuja kukuokota mtaroni??kuwa mwanaume basi
Sio mzee
 
Emu mwenye uzi aje hapa atwambie pombe zinamfanyaje maana wengine wanakunywa pombe na wapo vizuri kwenye majukumu yao
Iko hivi yy hapendi ninywe haijarishi nilewe au nionje na matumizi ndani nafanya kama.kawaida. nmvisha namlisha kila.kitu yani. Yy anachukia kitu kunywa pombe basi
 
Iko hivi yy hapendi ninywe haijarishi nilewe au nionje na matumizi ndani nafanya kama.kawaida. nmvisha namlisha kila.kitu yani. Yy anachukia kitu kunywa pombe basi
Hayo ndo yale mambo ya kutaka kumbadilisha mtu baada ya ndoa,we mtu ulimkuta anakunywa mkishaoana unasema mi sitaki mwanaume anayekunywa pombe je wasokunywa pombe hukuwaona???hyo ipo juu yako mkuu
 
Hayo ndo yale mambo ya kutaka kumbadilisha mtu baada ya ndoa,we mtu ulimkuta anakunywa mkishaoana unasema mi sitaki mwanaume anayekunywa pombe je wasokunywa pombe hukuwaona???hyo ipo juu yako mkuu
Umeona sasa mkuu Nina mwaka mzima tunaishi hajakwama chochote.
 
Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom