Toka nimeacha pombe nimekuwa na hatua, so pombe ilikuwa inanivurugia program zangu (kuamka mapema, kupanga ratiba za kazi za siku inayofuata) mipango kutotimia na kutumia fedha bila utaratibu(poor finacial managerment)Ukiweka imani pombe inamaliza pesa na kweli itaisha .....
Ukiweka imani pombe inakufnya ufanye mambo ya kijinga ni kweli itafanya....
Ukiweka imani pombe inakupa akili ya kutafuta pesa na kukutanisha na watu muhimu ni kweli itafanya hivyo....
Hiyo ndio inaitwa nguvu ya kutawala akili yako kwa mfumo wa imani...
Sina maneno mengi tuwelee tu 🍻🍻🍻
Naaam sisi tunakubal hatuna kujikwezaSure ila mapungufu hayakosekani bwashee, cha kushangaza nyie kiboko yenu ni hao waanjo 😄
Ruwa mangi kama unfanya duka ka mangi upo sahihi kabisa, kwa sisi wa viwanja lazima tukutane na watoto wa mjini kwenye viwanja vya kifahari vya pombe ,tufanye michongo ya kiumeToka nimeacha pombe nimekuwa na hatua, so pombe ilikuwa inanivurugia program zangu (kuamka mapema, kupanga ratiba za kazi za siku inayofuata) mipango kutotimia na kutumia fedha bila utaratibu(poor finacial managerment)
Kama mtu unatumia pombe nakushauri pumzika six months lazima utapata mabadiliko
Kwanza kujiburudisha, kukutana na watu ili kupanga michoro. Kuna waliofanikiwa kwa kutumia hivi vikao vya pombe.Ukiweka imani pombe inamaliza pesa na kweli itaisha .....
Ukiweka imani pombe inakufnya ufanye mambo ya kijinga ni kweli itafanya....
Ukiweka imani pombe inakupa akili ya kutafuta pesa na kukutanisha na watu muhimu ni kweli itafanya hivyo....
Hiyo ndio inaitwa nguvu ya kutawala akili yako kwa mfumo wa imani...
Sina maneno mengi tuwelee tu 🍻🍻🍻
SAWA MLEVI MWENYE BUSARAUkiweka imani pombe inamaliza pesa na kweli itaisha .....
Ukiweka imani pombe inakufnya ufanye mambo ya kijinga ni kweli itafanya....
Ukiweka imani pombe inakupa akili ya kutafuta pesa na kukutanisha na watu muhimu ni kweli itafanya hivyo....
Hiyo ndio inaitwa nguvu ya kutawala akili yako kwa mfumo wa imani...
Sina maneno mengi tuwelee tu
Matokeo ndugu yangu,kwa mwaka huu tu kama ningekuwa nimehifadhi hela nilizotumia kunywea pombe nisingekosa milioni 2.Kwa nini uache mkuu.
bado mwaka haujaisha mkuu, lolote linaweza kutokeaMatokeo ndugu yangu,kwa mwaka huu tu kama ningekuwa nimehifadhi hela nilizotumia kunywea pombe nisingekosa milioni 2.
Kwa hizo si njgekuwa hata na chumba kimoja nitoke huku mabondeni!
Labda maeneo ninayo pata kinywaji si rafiki, ila ile point yako ya kupata connection kwangu imekuwa failureKwa nini uache
Bwashee inategemea unaingiza pesa ngapi binafsi , bei ya pombe zangu ni malipo ya watu wengi humu na ni ndoto zao ,hapo inategmea mtu na mtuMatokeo ndugu yangu,kwa mwaka huu tu kama ningekuwa nimehifadhi hela nilizotumia kunywea pombe nisingekosa milioni 2.
Kwa hizo si njgekuwa hata na chumba kimoja nitoke huku mabondeni!