Pombe ina imani yake ya ajabu sana

Pombe ina imani yake ya ajabu sana

Wanjo ni wa kirua kilema , wamarangu , na mwika
Payroll haijasoma bdo ningekupa afu kumi 🤣

Hv umekaa rombo? Sasa wanavyo jiita sisi ni wa marangu sasa mtu wa kirua anakuwa je wa marangu,

Nilimwambia jamaa mmoja kule rombo kwetu, watu wa mwika mpk kirua tunawaita mwanjo/waanjo ananibishia msee 🤣
 
Wa vunjo wote wana wakilishwa na Watu wa mwika , hao wengine ni sifa tu😅
 
Sisi wengine ni nyutro, tunakunywa tu bila imani yoyote, sijui tutaambulia nini.
 
Mbege ya hapo kibongoto kwa mzee mmari ni tamu kishezi kwanza nikipata chibuku ya buku unyama ni tele
 
Back
Top Bottom