PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,182
faida zake ni [1] umaskini [2] figo maini kwisha [3] na mwisho mauti,,,:hatari:,,​
faida zake ni [1] umaskini [2] figo maini kwisha [3] na mwisho mauti,,,:hatari:,,​
Inakusaidia kuongea kiingereza bila kusomea darasani.
You cant believe nimeisoma hi maada nikiwa nimelewa japo sio sana
ila bhas tu nimecheka mpk all people ndan ya bar wakaanza kunishangaa
na wenyewe wakaanza kucheka for nothing
taratibu unaanza kuelewa effect zake
hujaona matumiz kdg ya kizungu yameongezeka???
Ngoja wanywaji na walevi waje kutujuza vizuri raha au adha wazipatazo.
Utafiti: 17% ya watz wanaishi kwa biashara ya POMBE
Umenena vyema mkuu, hakuna faida yoyote unayopata mnywaji pombe zaidi ya kujitia kwenye majanga kama baadhi uliyoyaorodhesha.
faida zake ni [1] umaskini [2] figo maini kwisha [3] na mwisho mauti,,,:hatari:,,​
wewe ukinywa soda na juice unapata faida gani zaidi ya kutuletea nzi na nyuki mezani tukiwa tunakunywa whisky zetu.?
faida zake ni [1] umaskini [2] figo maini kwisha [3] na mwisho mauti,,,:hatari:,,​
you cant believe nimeisoma hi maada nikiwa nimelewa japo sio sana
ila bhas tu nimecheka mpk all people ndan ya bar wakaanza kunishangaa
na wenyewe wakaanza kucheka for nothing
taratibu unaanza kuelewa effect zake
hujaona matumiz kdg ya kizungu yameongezeka???