Pombe gani mtu ukinywa haiachi harufu mdomoni?

Kila glass utakayoimimina ichanganyie na matone kadhaa ya mkojo wa mlevi nakuapia hutockia harufu yyte.
Mlevi mwenyewe awe kama huyu...
NOUMAER.PNG
 
Wewe shindilia aina yeyote ya pombe!...yameze tu, baada ya hapo kamata ndizi mbili mbivu, zilizoiva vizuri. Zibugia huku umefumba macho. Baada ya hapo hata Polisi waje Na tochi yao ya kupima ulezi hawapati kitu, zaidi ya matamate tu!
 
Habarini wakuu?

Natumaini kama umefanikiwa kusoma ujumbe huu we ni mzima wa afya. Kama title inavyojieleza hapo juu kwanza nianze kwa kuomba ushauri mimi ni kijana wa umri wa kati nilianza kunywa pombe nikiwa na umri mdogo sana nakumbuka nilianza nikiwa form two bila shaka.

Wakati mwingine sikuweza kufanya mitihani shuleni mpaka ninywe pombe kwanza , sasa niende kwenye mambo ya msingi mawili yalio nifanya ni create hii thread kwanza nawezaje kuondokana na huu uteja pili nipombe gani naweza kunywa ambayo haiachi harufu mdomoni ambayo naweza kunywa na kuendelea na kazi zangu bila yeyote kusikia harufu hata wakati nitakapo msogelea.
We nenda kwa makonda tuu maake haina namna
 
Wewe shindilia aina yeyote ya pombe!...yameze tu, baada ya hapo kamata ndizi mbili mbivu, zilizoiva vizuri. Zibugia huku umefumba macho. Baada ya hapo hata Polisi waje Na tochi yao ya kupima ulezi hawapati kitu, zaidi ya matamate tu!
Nikajua hii njia naijua pekee yangu

Na hapo hata ukibeua walah inatoka ndizi mbivu, hadi raha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom