Poll: Kitafunio kipi bomba kwa chai?

Poll: Kitafunio kipi bomba kwa chai?

anin-gift

Senior Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
168
Reaction score
73
Chapati
kiporo
vitumbua
andazi
kisheti
kababu
ugali............n.k
 
Chapati
kiporo
vitumbua
andazi
kisheti
kababu
ugali............n.k

Huniambii lolote kuhusu Kiporo,
hasa kiwe ni Ubwabwa na Kisamvu kilichopikwa kwa Nazi.
Mama yangu weeee!!!!
Unakula mpaka unajisikia aibu.
 
Huniambii lolote kuhusu Kiporo,
hasa kiwe ni Ubwabwa na Kisamvu kilichopikwa kwa Nazi.
Mama yangu weeee!!!!
Unakula mpaka unajisikia aibu.

hicho kitakufanya usinzie kutwa nzima...
 
chapati ndio mpango mzima, pale kati unaweka kitu cha sausage au yai au nyama iliyosagwa...pembeni unakua na milk shake ya banana au chai maziwa ya hiliki.
 
Huniambii lolote kuhusu Kiporo,
hasa kiwe ni Ubwabwa na Kisamvu kilichopikwa kwa Nazi.
Mama yangu weeee!!!!
Unakula mpaka unajisikia aibu.

Hapo kwenye kisamvu tu ndio napenda tena nina sikunying sijakipata!
 
Ngoja nikaige supu mie.. Akili ichangamke! Kiporo utalala sana na kuja.mba mfululizo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

hahaha. Why mfululizo sasa?
Chai kavu kavu ndo mpango mzima
 
Huniambii lolote kuhusu Kiporo,
hasa kiwe ni Ubwabwa na Kisamvu kilichopikwa kwa Nazi.
Mama yangu weeee!!!!
Unakula mpaka unajisikia aibu.

kikiwa na kichwa cha samaki wa kiporo ndo aibu zaidi. Ukikutwa unaanza kujishaua 'mie silagi kiporo ujue. Yaani leo tu sijui kwa nini'
hahaha, raha kweli.
 
mkuu hii ndio hali halisi au unazungumzia scene za kwenye tamthiliya
 
Back
Top Bottom