Wangoni huwa hawajitambui. Ndio Maana Ngonyani anafanya mambo ya Kitoto. Halafu wanapenda sana Totoz na Pombe. kwahio inawezekana alikuwa tayari kautikwa
Ni kweli mkuu ila hao wote ugonjwa wao ni nafuu kidogo, usiombe ukaumwa ugonjwa wa yule sukule mkuu laki si pesa...!!!
Yaani hata kujuta kwa kosa ulilokosa kosa huwezi maana kwa lolote utalofanya unajihisi uko sahihi...!!! Waweza mshika Nido mkweo ukadhani ni mkeo...!!!Nakwambia laki si pesa anahali mbaya... Oooooh
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.