act=ccjkumekuwa na wimbi kubwa la wanachama wapya wa acthapa jf wanaotoa hoja zenye mwelekeo wa kuwa huenda wao ni wanachama huku wale wanazi wa chadema wakionekana kukerwa na wana act kuliko hata mwana ccm.
leo tunamaliza upinzani, ni nani wana wapenzi na wanachama wengi ktk mitandao ya kijamii hususani hapa jf?
na hapa leo ni kati ya act-wazalendo vs chadema.
matokeo ya jumla nitajumlisha kesho, tar. 31/03/2015 saa 3 usiku na nitaweka update ya majibu hapa.
Mkuu na nuru ya ACT kasema mkatangaze madeni yenu.
Kumekuwa na wimbi kubwa la wanachama wapya wa ACThapa JF wanaotoa hoja zenye mwelekeo wa kuwa huenda wao ni wanachama huku wale wanazi wa CHADEMA wakionekana kukerwa na wana ACT kuliko hata Mwana CCM.
Leo tunamaliza upinzani, ni nani wana wapenzi na wanachama wengi ktk mitandao ya kijamii hususani hapa JF?
Na hapa leo ni kati ya ACT-wazalendo VS CHADEMA.
Matokeo ya jumla nitajumlisha kesho, tar. 31/03/2015 saa 3 usiku na nitaweka update ya majibu hapa.
Akili zilizojichokea hizi...!!!!!
Hivi wewe na akili zako chovu umewaza nini mpaka kuja na thread hii?? Angalia vizuri naona ugonjwa wa laki si pesa unajunyemelea kwa kasi
BTW Hebu nitajie wanachama kumi tu wa ACT hapa jamvini.
BACK TANGANYIKA