CHADEMA imeshazeeka sasa haina mvuto kulingana na matendo yao,kitu ACT
mtajijibu wenyewe wasaliti! kwa kifupi,ACT ni sawa na timu ya mpira wa miguu ya STAND UNITED ya Shinyanga alafu unailingasha na FC BARCELONA ya HISPANIA! bila shaka mleta mada AMEVURUGWA!
Lakini ni upuzi kulinganisha mtoto asiye na meno na kaka mkubwa...hivi mtoa mada unadiriki kweli kujaribu kitu cha namna hiyo? Hauoni ya kuwa ZZK ndiye pekee anayesimamisha ACT? Au unadhani umaarufu wa mtu unaweza kuizidi taasisi anayoongoza? Ungesubiri kwa muda ACT nayo walau iweke mizizi yake ardhini kabla ya kuja na jambo la namna hii. Unaweza ukapata washabiki kwa sababu ya upenzi wa mtu lakini ukakosa uhalisia sababu uhalisia haujengwi siku moja...wacha mtoto akue kidogo usimwingize vitani. Ni ushauri tu.
Mimi si mpenzi wa CCM wala ACT wala CDM...Ni mzalendo anayependa balanced thinking
CHADEMA imeshazeeka sasa haina mvuto kulingana na matendo yao,kitu ACT
Kumekuwa na wimbi kubwa la wanachama wapya wa ACThapa JF wanaotoa hoja zenye mwelekeo wa kuwa huenda wao ni wanachama huku wale wanazi wa CHADEMA wakionekana kukerwa na wana ACT kuliko hata Mwana CCM.
Leo tunamaliza upinzani, ni nani wana wapenzi na wanachama wengi ktk mitandao ya kijamii hususani hapa JF?
Na hapa leo ni kati ya ACT-wazalendo VS CHADEMA.
Matokeo ya jumla nitajumlisha kesho, tar. 31/03/2015 saa 3 usiku na nitaweka update ya majibu hapa.
Kama co mchaga bas uwe mnafik ndo utadumu chadema!