TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,268
- 25,561
Pole sana, nimekusoma wapi unaelekea...Nchi hii haina serikali, kila kitu inafanya ccm. Kuna anayekutuma kutudanganya vinginevyo?
Pole sana, nimekusoma wapi unaelekea...Nchi hii haina serikali, kila kitu inafanya ccm. Kuna anayekutuma kutudanganya vinginevyo?
Umemkomesha upumbvu wake kwa strong POINTswacha wewe working class kwenye ubora wake,maadamu wewe unakula na kushiba yanayotokea kwa jirani hayakuhusu,hizo social services zote ulizoziorodhesha hapo juu ni ndoto kutokea hata baada ya kutawaliwa na chama dola zaidi ya 50yrs.Angalia facts ;je nchi hii tunaweza kujivunia kiwango chetu cha utoaji wa Elimu?huduma zetu za Afya ni above average(je mwanakijiji wa hapa Lingusenguse anauhakika wa kuhudumiwa akienda pale kwenye zahanati yake?kuanzia huduma za udaktari hadi madawa?),je watanzania wana uhakika wa kuwa na umeme wa uhakika?,je hizi barabara zetu ni kweli zimejengwa kwa kiwango kinachokubalika?upana na ubora wa barabara upo?je huduma za reli zinaimarika au zinadhoofika?,je nchi ina freedom of press na expression?,na jiulize chama dola bila ya kuwa na vyombo vya ulinzi na usalama nyuma yake kinaweza kujiendesha?,angalia kwa yaliyotokea kwa ZANU -PF,KANU,UNIP na now ANC na keep an eye yanayojiri pale Botswana;hakuna marefu yasiyo na ncha,CCM HAKITA SURVIVE HATA FOR ONE YEAR KAMA CHAMA CHA UPINZANI.
Tena mshamba!#JamaaAmechanganyikiwa
Tundu Lissu is paying the price of his speechesIDD Amin Dada....!!!
Kumpata hadi connection duu...!!! Kitafika kipindi hadi kwenda jela tutahitaji connection [emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]Mshana Jr wee mzee hua hauelewi umeambiwa kamaradi kinana anatumia simu za nje na anazima zima simu ili kumpata hadi Nape kuna namna anachezesha hivi
Nashangaaa sana zama hizi kwa nini hadi ujaze ma camera mbele yako. !!Kama vipi unakaa chumbani kwako unajirekodi vile ulivyokuwa unataka kusema unapost au hiyo inakuwa siyo conference tena?
Labda yeye ni muhubiriMbona bado kuna press conferences zinafanyika kwa upande wa jiwe?
CC mleta uziAngalau tumehama kutoka kwenye "Nchi ya Wapiga Porojo" na kwenda kwenye "Nchi ya Wachapa Kazi"
MA-press conference yana faida gani kwetu huku N'gwashilalage? Tunataka umeme, MA-barabara, reli, dawa hospitali nk,
Hongera awamu ya Tano, mijitu ya kushinda yanafuatilia matamko ya wanasiasa wachumia tumbo kwenye tv huku njaa zianuma yamepotea huku kijijini...watu tupo zetu shambani,
Mzuka ni watu kupata unachotaka wapate (kusikia) hata hivyo Mzuka upi unauzungumzia hapa. Ndugu mshana?[emoji3][emoji3][emoji3]hainogi haina mzuka