Siyo mipango ya serikali, ni mipango ya ccm.Pasi kuwazuia ayo mnayotaka, mtaharibu na kuhafifisha mipango iliyopo ya serikali na kuwafanya wananchi kuwa kama kipepe...

Angalau tumehama kutoka kwenye "Nchi ya Wapiga Porojo" na kwenda kwenye "Nchi ya Wachapa Kazi"
MA-press conference yana faida gani kwetu huku N'gwashilalage? Tunataka umeme, MA-barabara, reli, dawa hospitali nk,
Hongera awamu ya Tano, mijitu ya kushinda yanafuatilia matamko ya wanasiasa wachumia tumbo kwenye tv huku njaa zianuma yamepotea huku kijijini...watu tupo zetu shambani,
Nadhani umetumia tumbo kufikiri, la sivyo usingejibu hivi!!Angalau tumehama kutoka kwenye "Nchi ya Wapiga Porojo" na kwenda kwenye "Nchi ya Wachapa Kazi"
MA-press conference yana faida gani kwetu huku N'gwashilalage? Tunataka umeme, MA-barabara, reli, dawa hospitali nk,
Hongera awamu ya Tano, mijitu ya kushinda yanafuatilia matamko ya wanasiasa wachumia tumbo kwenye tv huku njaa zianuma yamepotea huku kijijini...watu tupo zetu shambani,
Hahaha anataka tuamini serikali na ccm ni tofauti, sijui kama ni kweli eti you can lie to yourself but can't hide from yourself.Niliwaza kama wewe na sijui rafiki yangu TODAYS alimaanisha nini
mbaya sana sana sanaa hili dubwasha limeshatufikisha RWANDA tayari yaani juzi nilikuwa bar maeneo ya makumbusho kuna wanausalama wengi sanaKwasasa unachoweza kufanya ni kuitisha tu press conference ili ujibu tuhuma za ushoga kufumaniwa na mambo mengine mepesi mepesi ya kisanii na kufurahisha genge... Ama labda uwe bash boi au msiba.
Press conference nyingine yoyote yenye viashiria vya kisiasa na kutaka kuongelea mambo yasiyotabirika na yasiyotakiwa kuongelewa na watu ama viongozi walio nje ya mfumo
Itisha PC ya namna hiyo lipia gharama zote za sehemu unayotaka kufanyia. Utafurahi na roho yako utakapoambiwa kuwa huna ruhusa ya kufanya mkutano wako hapo na kurejeshewa gharama zako zote ulizolipia bila kupunjwa hata sumni.
Press conference nyingine ambayo haiwezi kupata figisu vikwazo wala mikwamo ni ile ya kuunga mkono juhudi.Ama kuwa sehemu muhimu ya mapambio kwenye praise team... Hapo hata msaada wa korokoloni utapatiwa bila shida.
Kama unajiandaa kufanya yako.... Angalia ni ya nini.
CC: Nape Nnauye Zitto kabwe
Natambua Nape koo linakuwasha na unataka kusema jambo lakini nadhani hali halisi unaijua vema.
By the way na nje ya mada tunahamu ya kujua alipo comrade Kinana maana bila connection yako hatutaweza kujua lolote
TheKwasasa unachoweza kufanya ni kuitisha tu press conference ili ujibu tuhuma za ushoga kufumaniwa na mambo mengine mepesi mepesi ya kisanii na kufurahisha genge... Ama labda uwe bash boi au msiba.
Press conference nyingine yoyote yenye viashiria vya kisiasa na kutaka kuongelea mambo yasiyotabirika na yasiyotakiwa kuongelewa na watu ama viongozi walio nje ya mfumo
Itisha PC ya namna hiyo lipia gharama zote za sehemu unayotaka kufanyia. Utafurahi na roho yako utakapoambiwa kuwa huna ruhusa ya kufanya mkutano wako hapo na kurejeshewa gharama zako zote ulizolipia bila kupunjwa hata sumni.
Press conference nyingine ambayo haiwezi kupata figisu vikwazo wala mikwamo ni ile ya kuunga mkono juhudi.Ama kuwa sehemu muhimu ya mapambio kwenye praise team... Hapo hata msaada wa korokoloni utapatiwa bila shida.
Kama unajiandaa kufanya yako.... Angalia ni ya nini.
CC: Nape Nnauye Zitto kabwe
Natambua Nape koo linakuwasha na unataka kusema jambo lakini nadhani hali halisi unaijua vema.
By the way na nje ya mada tunahamu ya kujua alipo comrade Kinana maana bila connection yako hatutaweza kujua lolote
Siyo mipango ya serikali, ni mipango ya ccm.
A=B=C AU CCM=SERIKALI=VYOMBO VYOTE VYA DOLA. Ukielewa waeleweshe na wengine.CCM inaongoza dola ipi..?
👇Pasi kuwazuia ayo mnayotaka, mtaharibu na kuhafifisha mipango iliyopo ya serikali na kuwafanya wananchi kuwa kama kipepe...
👆Siyo mipango ya serikali, ni mipango ya ccm.
A=B=C AU CCM=SERIKALI=VYOMBO VYOTE VYA DOLA. Ukielewa waeleweshe na wengine.
Nchi hii haina serikali, kila kitu inafanya ccm. Kuna anayekutuma kutudanganya vinginevyo?👇
👆
Jifunze kuelewa kabla hujajibu chochote. 👇