PreGE2025 Polisi yazuia Mkutano wa John Heche na Waandishi wa Habari uliokuwa ufanyike leo Juni 17, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wao CHADEMA wamesajilliwa kupitia msajili wa vyama vya siasa

Jina la CHADEMA limeingiaje hapo? Wakati CHADEMA imefungiwa shughuli zake

Wakirudia tena msajili afute CHADEMA
Itakusaidia nini wewe bwege ?!.
 
Jeshi la Polisi limezuia kufanyika Mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche na waandishi wa habari ulokuwa ufanyike leo Juni 17, 2025 katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo Makumbusho Dar es salaam, kwa maelezo kwamba chama hicho kimezuiwa na Mahakama kufanya shughuli za Siasa.

Akizungumzia suala hilo, Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chadema, Brenda Rupia amesema wa wakati wakiandaa kwa mkutano huo, walifika watu waliojitambulisha kuwa ni maofisa wa polisi na kuzuia ufifanyike.

"Walikuja maofisa wa polisi wakasema CHADEMA imezuiwa kufanya kazi hivyo tusifanye mkutano. Lakini huu mkutano nimeuitisha mimi kama Brenda, sio wa chama," amesema.

Alipoulizwa kuhusu zuio hilo, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amehoji, "wanalalamika nini? Basi tunafuatilia wasichokijua na ambacho wanakilalamikia."

Taarifa ya Chama cha Demokrasia na Maendeleoa (CHADEMA)

Jeshi la Polisi limezingira hotel ya Seashells Millennium Hotel na kuwaamuru waandishi wa habari kuondoka, Makamu Mwenyekiti - Tanganyika John Heche alitarajia kufanya Mkutano na Waandishi wa Habari hotelini hapo leo tarehe 17 Juni 2025. Jeshi hilo limedai kuwa Chadema wamezuiliwa kujishughulisha na shughuli yoyote ya kisiasa.

POSTPONED (PP): John Heche anazungumza na Watanzania kupitia Waandishi wa Habari, Dar es Salaam, Julai 17, 2025

Polisi alivamia press na kuamuru Waandishi wa Habari wazime Kamera zote.

Suala la kisheria halibishaniwi
 
Kama chadema hawaruhusiwi kufanya chochote, wale wabunge wanaowakilisha chadema bungeni wanafanya nini?

Kitendo cha bunge kuwaruhusu kuendelea na mijadala ni kuvunja katiba, na ushiriki wao bungeni tangu mahakama itoe zuio ni batili.

Kama mjadala wa bajeti ulipitishwa/kuchangiwa na mbunge wa chadema ni batili pia.
 
Police wa CCM wana maisha magumu balaa, hivi washavunja kambi yao kule kwa Gwaji-Boy kulilinda kanisa lake
 
Jeshi la Polisi limezuia kufanyika Mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche na waandishi wa habari ulokuwa ufanyike leo Juni 17, 2025 katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo Makumbusho Dar es salaam, kwa maelezo kwamba chama hicho kimezuiwa na Mahakama kufanya shughuli za Siasa.

Akizungumzia suala hilo, Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chadema, Brenda Rupia amesema wa wakati wakiandaa kwa mkutano huo, walifika watu waliojitambulisha kuwa ni maofisa wa polisi na kuzuia ufifanyike.

“Walikuja maofisa wa polisi wakasema CHADEMA imezuiwa kufanya kazi hivyo tusifanye mkutano. Lakini huu mkutano nimeuitisha mimi kama Brenda, sio wa chama,” amesema.

Alipoulizwa kuhusu zuio hilo, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amehoji, “wanalalamika nini? Basi tunafuatilia wasichokijua na ambacho wanakilalamikia.”

Wamezuia venue, lakini si kutoa ujumbe wao

CHADEMA tumieni platform nyingine kutoa ujumbe mliokusudia

Mfano mna CHADEMA Media TV yenu, tumia sebule yako heche, toa ulichokusudia kukifanya
 
Polisi wamejuaje Venue??
Screenshot_20250617-101129_X.jpg
 
Jeshi la Polisi limezuia kufanyika Mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche na waandishi wa habari ulokuwa ufanyike leo Juni 17, 2025 katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo Makumbusho Dar es salaam, kwa maelezo kwamba chama hicho kimezuiwa na Mahakama kufanya shughuli za Siasa.

Akizungumzia suala hilo, Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chadema, Brenda Rupia amesema wa wakati wakiandaa kwa mkutano huo, walifika watu waliojitambulisha kuwa ni maofisa wa polisi na kuzuia ufifanyike.

"Walikuja maofisa wa polisi wakasema CHADEMA imezuiwa kufanya kazi hivyo tusifanye mkutano. Lakini huu mkutano nimeuitisha mimi kama Brenda, sio wa chama," amesema.

Alipoulizwa kuhusu zuio hilo, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amehoji, "wanalalamika nini? Basi tunafuatilia wasichokijua na ambacho wanakilalamikia."

Taarifa ya Chama cha Demokrasia na Maendeleoa (CHADEMA)

Jeshi la Polisi limezingira hotel ya Seashells Millennium Hotel na kuwaamuru waandishi wa habari kuondoka, Makamu Mwenyekiti - Tanganyika John Heche alitarajia kufanya Mkutano na Waandishi wa Habari hotelini hapo leo tarehe 17 Juni 2025. Jeshi hilo limedai kuwa Chadema wamezuiliwa kujishughulisha na shughuli yoyote ya kisiasa.

POSTPONED (PP): John Heche anazungumza na Watanzania kupitia Waandishi wa Habari, Dar es Salaam, Julai 17, 2025

Polisi alivamia press na kuamuru Waandishi wa Habari wazime Kamera zote.

sikio la kufa halisikiagi dawa hatakama linatoa damu na usaha,

polisi walichokifanya ni kuzuia chadema isijinyonge kisiasa kwa mujibu wa sheria:pedroP:
 
Back
Top Bottom