PreGE2025 Polisi yazuia Mkutano wa John Heche na Waandishi wa Habari uliokuwa ufanyike leo Juni 17, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wao CHADEMA wamesajilliwa kupitia msajili wa vyama vya siasa

Jina la CHADEMA limeingiaje hapo? Wakati CHADEMA imefungiwa shughuli zake

Wakirudia tena msajili afute CHADEMA
Kwahiyo Heche hata akiwa nyumbani anakuwa anawakilisha CHADEMA? lin mtaanza jitambua , kufungiwa kwa CHADEMA hakuwazuii waliokuwa memebers wake kujihusisha na siasa maana wao ni watanzania nje ya CHADEMA , Heche anaezq ongea kama mtanzania au pia kama member wa CHADEMA kazuiliwa kufanya siasa chini ya mwamvuli wa CHADEMA ila ana haki ya kuchangia lolote la siasa za ndan akiwa anaitumia kama haki yake kama mtz
 
Msajiri ana nguvu gani ya kufungia chama au ndio zile mahakama zetu zinazotoa hukumu kwa simu na vimemo
 
Jeshi la Polisi limezuia kufanyika Mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche na waandishi wa habari ulokuwa ufanyike leo Juni 17, 2025 katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo Makumbusho Dar es salaam, kwa maelezo kwamba chama hicho kimezuiwa na Mahakama kufanya shughuli za Siasa.

Akizungumzia suala hilo, Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chadema, Brenda Rupia amesema wa wakati wakiandaa kwa mkutano huo, walifika watu waliojitambulisha kuwa ni maofisa wa polisi na kuzuia ufifanyike.

"Walikuja maofisa wa polisi wakasema CHADEMA imezuiwa kufanya kazi hivyo tusifanye mkutano. Lakini huu mkutano nimeuitisha mimi kama Brenda, sio wa chama," amesema.

Alipoulizwa kuhusu zuio hilo, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amehoji, "wanalalamika nini? Basi tunafuatilia wasichokijua na ambacho wanakilalamikia."

Taarifa ya Chama cha Demokrasia na Maendeleoa (CHADEMA)

Jeshi la Polisi limezingira hotel ya Seashells Millennium Hotel na kuwaamuru waandishi wa habari kuondoka, Makamu Mwenyekiti - Tanganyika John Heche alitarajia kufanya Mkutano na Waandishi wa Habari hotelini hapo leo tarehe 17 Juni 2025. Jeshi hilo limedai kuwa Chadema wamezuiliwa kujishughulisha na shughuli yoyote ya kisiasa.

POSTPONED (PP): John Heche anazungumza na Watanzania kupitia Waandishi wa Habari, Dar es Salaam, Julai 17, 2025

Polisi alivamia press na kuamuru Waandishi wa Habari wazime Kamera zote.

Polisi safi sana nawapongeza safi kwa upofu mlionao lkn mjue siku inakuja wote mtafutwa kazi muandaage na mashamba ya kulima.
 
Kwani lazima awaite waandishi wa habari jamani kwa tekinolojia za sasa si arekodie na ofisi ya habari ya chadema then wasambaze kwa hao waandishi na nyingine wapandishe YouTube tu..
 
Back
Top Bottom