Polisi Yazuia Maandamano Ya Chama Cha Wananchi(CUF)

Polisi Yazuia Maandamano Ya Chama Cha Wananchi(CUF)

Kama kuna watu wana mambo ya kijinga hapa Tanzania basi CUF wanaongoza. Wamepanga haya maandamano yao siku hizo makusudi wakijua kuna ugeni. Sasa kama utajiuliza kwa nini, jibu ni kwamba, wamefanya hivyo ili mume wao atakaposema wasiandamane basi ionekane wana adabu tofauti na CDM ambao hugomeaga sababu za kike-kike kama hizo.

Kama kweli CUF nia yao ya kufanya maandamano ni ili wasikike, basi hawana haja ya kurudi nyuma, huu ndio wakati muafaka kwani hicho wanachotaka kudai ndio wakati wake. Wenzetu husubiri ujio wa wageni ndio waandamane, basi kama kweli wanayo madai huu ndio wakati na wala sio akishaondoka.


jamani jamani jamani...hivi si uchonganishi huu kweli? waache waamue wanachoona sawa kufanya.
 
Sioni hata umuhimu wa maandamano yao,wakati wamo kwenye mfumo wa fisadi wa ccm kuna haja gani ya kujiona kuwa hawafai na kudai haki,kama siyo akili ndogo ni nini?
 
Kova anakosea kuzuia mke wa mtu kwenda chumbani kwa mumewe

Kwani mke kwenda chumbani kwao anaomba ruhusa kwa nani? Kama walitaka kwenda Ikulu walishindwa nini kumtuma Maalim Sefu ambaye ni makamu wa rais wa kwanza kwenda kumwona kiongozi mwenzake. Hawa wanataka kutuzuga.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kova atowe sababu nyingine lakini siyo sababu ya kuimarisha ulinzi, Wamarekani hawahitaji ulinzi wowote kutoka Tanzania na watajilinda wenyewe, wao wanachohitaji ni yale makabrasha ya Mikataba tu.
 
Tatizo la watanzania hatuandamani ndio maana genge la wahuni la CCM linavimba kichwa ,CUF hawakuwa na nia ila ni damage control wanataka ku pre empt kwamba wanataka kuandamana kwa mambo ya Arusha ili chadema wasiandamane wajinga kweli pamoja na MACCM
 
Jaman kama si kuingilia ndoa za watu ni nini? Jesh la polisi lina wivu kwa kuwa nalo linataka ndoa hyo siku hzi, sasa kinachoendelea ni wivu kwa Cuf wenye ndoa rasmi inayotambulika kisheria mpaka na honeymoon Dubai walikwenda. Sasa Kova kumzuia mke kwenda kwa mume wako jaman c wivu na ni kosa? Alitaka mke apge hodi chumban kwa mume wake? Awaache tarehe 29 wapekeke nyama, vtunguu saumu na mchele wa kumpkia mgeni wao toka Marekani anayekuja nyumban kwao. Jesh la polisi kwa kuwa nao wanaitaka na wameanza kuonyesha kuwa wanataka ndoa na CCM basi ni full wivu kwa CUf. Kova waruhusu waende kwao tarehe 29..
 
Mkuu, CUF walikua hawana maandamano ni zuga tu ile,Kova aliwatuma waombe kibali kama wanataka kufanya maandamo ili awakatalie ionekane kua sio Chadema tu ndio wanaonewa,hata CUF pia uwa wanakataliwa,Lipumba njaa itamponza anatumiwa sasa na yeye,kova ndio zake
 
Hii ni hatari sana Bwana KOVA kuingilia ndoa ya watu hii si HAKI kabisa Lakini tatizo ni kwa sababu tu Polisi nao walishafunga ndoa na CCM ndo maana CCM wanapofanya mikutano yao polisi hawezi kuingilia mikutano hiyo wala hawawezi kupiga MABOMU maana nimwenzao.
Lakini CHADEMA wakifanya mikutano polisi wanaingilia na kufanya MAUAJI kwa watu wasi na HATIA,kwa upande wangu POLISI wamefanya vibaya kabisa kuwazuia CUF kwenda kumuona MZEE wakati NDOA yao ilikuwa HALALI kabisa kwa mjibu wa SHERIA Hivyo nawaomba POLISI waache WIVU wawaache CUF waende IKULU.
 
Mkuu, CUF walikua hawana maandamano ni zuga tu ile,Kova aliwatuma waombe kibali kama wanataka kufanya maandamo ili awakatalie ionekane kua sio Chadema tu ndio wanaonewa,hata CUF pia uwa wanakataliwa,Lipumba njaa itamponza anatumiwa sasa na yeye,kova ndio zake
 
Hao waliberali hawakua na nia ya kufanya maandamano, vinginevyo wasingepanga hiyo tarehe ambayo wanajua fika kuna ugeni.
Hapo washajikosha tayari kuwa wapo pamoja na wana Mtwara, ila polisi wamewakatalia kuandamana.
 
Ni zuga tu,wanalala kitanda kimoja hao,wote si maliberali? si umeskia US kuna jimbo limekubali ndoa za jinsia moja!na Obama kaipokeza hatua hiyo ya mahakama,nadhani CUF walikuwa na ujumbe wa maliberali kutambulika rasmi nchi hii! shame on them,Lipumba Prof njaa halafu bonge la COWARD and TRAITOR kama wanachama wote wa CUF walivyo
 
Jaman kama si kuingilia ndoa za watu ni nini? Jesh la polisi lina wivu kwa kuwa nalo linataka ndoa hyo siku hzi, sasa kinachoendelea ni wivu kwa Cuf wenye ndoa rasmi inayotambulika kisheria mpaka na honeymoon Dubai walikwenda. Sasa Kova kumzuia mke kwenda kwa mume wako jaman c wivu na ni kosa? Alitaka mke apge hodi chumban kwa mume wake? Awaache tarehe 29 wapekeke nyama, vtunguu saumu na mchele wa kumpkia mgeni wao toka Marekani anayekuja nyumban kwao. Jesh la polisi kwa kuwa nao wanaitaka na wameanza kuonyesha kuwa wanataka ndoa na CCM basi ni full wivu kwa CUf. Kova waruhusu waende kwao tarehe 29..
Wadau mimi hapa ndipo napochoka...POLISI NALO NI JESHI??? Hebu niambie kwa kingereza jeshi la polisi tunaliitaje???
 
Waliberali hawana lolote. Wazee wa kuokoa jahazi LA magamba. Mayo maandamano hewa tu wameshakaa wanandoa wanajaribu kupumbaza watu kwa yaliyotokea
 
Akizungumza kupitia TBC1, mwenyekiti wa taifa wa CUF profesa Ibrahim Lipumba amesema amefurahishwa na barua aliyoipokea kutoka kwa Rais Kikwete kumuarifu kwamba kutokana na ugeni mzito atakaokuwa nao siku hiyo ambayo CUF imepanga kuandamana kuelekea Ikulu kuongea na Kikwete, Kikwete hataweza kuyapokea maandamano hayo. Profesa Lipumba alikuwa amefuatana na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam na Kamanda wa kanda maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova
 
hivi hawa ccm si wanafiki tu,kweli maandamano yangekuwa yameandaliwa na chadema huyo sijui anayeitwa rais angewajibu? Tunaendelea kuona double standards za magamba watanzania sio wajinga hivyo
 
Kama kuna watu wana mambo ya kijinga hapa Tanzania basi CUF wanaongoza. Wamepanga haya maandamano yao siku hizo makusudi wakijua kuna ugeni. Sasa kama utajiuliza kwa nini, jibu ni kwamba, wamefanya hivyo ili mume wao atakaposema wasiandamane basi ionekane wana adabu tofauti na CDM ambao hugomeaga sababu za kike-kike kama hizo.

Kama kweli CUF nia yao ya kufanya maandamano ni ili wasikike, basi hawana haja ya kurudi nyuma, huu ndio wakati muafaka kwani hicho wanachotaka kudai ndio wakati wake. Wenzetu husubiri ujio wa wageni ndio waandamane, basi kama kweli wanayo madai huu ndio wakati na wala sio akishaondoka.

Very right,CUF uhai wao kisiasa umebaki kwenye kujipendekeza tu hawana mbinu nyingine.
 
Sasa maandamano siku moja na kuja Obama wapi na wapi? CCM akili zao zipo kwenye nini?
 
Back
Top Bottom