Sisi tukifunga hatuweki matangazo, kwa imani yetu huo ni unafiki. Mtu kufunga sio lazima unuke mdomo kwa kutopiga mswaki na kujawa mitongotongo kama Marehemu Mat..... Nyie mnapenda sana kujionesha. Mtu akifunga basi ni kulalalala tu kwenye mikeka kama mjamzito.
'Tena mfungapo, msiwe kama WANAFIKI wenye uso wa kukunjamana; maana hujiumbua nyuso zao, ili waonekane na watu kuwa wanafunga. Amin, nawaambia; wamekwisha kupata thawabu yao.
Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe uso,ILI USIONEKANE NA WATU KUWA UNAFUNGA, ila na Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujaza.'
Mathayo 6:16-17
Shida ya dini iliyoanzishwa kwa upanga, hata kufunga ni kwa kulazimishana. Hata mtu kugawa urithi kwa mujibu wa imani yake ni lazima alazimishwe na mahakama, mtu haendi kuswali hadi atishiwe kuwa shuka yake ndio sanda yake n.k.
Huwezi kuhesabu Wakristo waliofunga. Halafu sisi hatufungi wakati wa Kwaresma tu, kufunga ni ibada.
Kuhusu kula, unadhani ni kwa nini Kamanda wa Polisi amewaasa muwe makini wakati wa kufuturu? Jibu ni kwamba anajua kuwa wakati huo akili huwa imehamia mdomoni hata mtu akikanyaga moto huwa hasikii maumivu, mawazo ni kula tu na haachi mpaka avimbiwe