Polisi Yawaonya Wanaokula Hadharani mwezi wa Ramadhani

Polisi Yawaonya Wanaokula Hadharani mwezi wa Ramadhani

Status
Not open for further replies.
Tusio waislamu aah

iftar-meal1.jpg


Yereee uwiiiiiiiiiiii, simbony safooooo Cremeeeeeeeee hebu niletee mbusi katoliki ulioiacha jikoni siioni hapa mesani etiiiiiii!
 
Nagonga kinana larger hapa na kuongeza salio ...(kitimoto)
 
Tena ikiwezekana hii amri uvuke maji mpaka tanganyika na viboko viendelee kuchwapwa mpaka watu wakimaliza mfungo wawe na nidhamu safi sana pemba (mwezi mtukufu hakuna masihara lazima mwenyezi mungu aheshimiwe unakula mwaka mzima kwa nini usiheshimu mwezi 1 tu ebo)
 
kwa idadi ya waislamu pemba, sidhani kama tangazo hili lina ubaya. kwa miji mingine yenye mchanganyiko mkubwa wa watu wa dini tofauti, tangazo hili halifai

Hivi kuvumiliana kiimani maana yake nini? Si pamoja na Waislamu kuvumilia Imani za wasiofunga?
Hiyo kauli maana yake nini? Hawa Polisi wanatumia sheria gani, na watachukua hatua gani dhidi ya wanaokula 'hovyo' na 'kuvaa hovyo'?
Nashawishika kuamini Polisi wetu wengi ni wa hovyo, hawana weledi wa sheria na maadili.
 
naomba kwa wale wanaofunga, jiepusheni kuchangia uzi huu kwa sababu umekaa kiuchokozi. lugha ya matusi itapelekea kupunguza ujira wa funga yenu. mods fungeni uzi huu tafadhali!
 
mods tafadhalini heshimuni ibada ya funga kwa kuondoa uzi huu. naona michango inachochea chuki za kidini
 
Nini maana ya WAHALIFU?
Polisi hawajui mhalifu kwa mujibu wa Penal code ni nani au wanataka tuamini kwamba polisi ni Mbulula.
 
Mungu anatupatia options zote ili sisi kama kweli tunampenda tuchague yale yaliyo sahihi na yanayokubalika kwake!
Na ndio maana akatuleta duniani, huku kwenye shida na raha, tabu na faraja!

Mungu hakushindwa kumwondoa shetani duniani kwa kumtupa kwenye sayari zisizo na binadamu ili sisi huku duniani tuishi bila vishawishi, bali alichagua kumuacha tukae nae ili kwa hiari yetu tuchague kumfuata ama yeye Mungu au shetani!

Haya mambo ya binadamu kulazimisha kumsaidia Mungu majukumu ya kuondoa vishawishi duniani ni ujuha! Mungu atakua anatucheka sana!

Unapoona mambo ya kidini yanalazimishwa kiasi hiki ujue kuna tatizo mahali!
 
Hakika asiyesikia ni wakupiga mpake awe kilema kama sio kufa
 
Hivi neno kujipanga,polisi wamejifunzia wapi?Kila siku wamejipanga
 
Yereee uwiiiiiiiiiiii, simbony safooooo Cremeeeeeeeee hebu niletee mbusi katoliki ulioiacha jikoni siioni hapa mesani etiiiiiii!

xxx.jpg

...nimepata samaki, kichwa kitakuliwaza. Kwa sasa wateja hawapo... Tukichinja atadoda!
 
Kejeli ipi tena ndugu yangu? Usintafutie ban ya bure please! Mimi na mambo ya dini tafauti kabisa
unajua watu wanafunga. unaweka picha ya chakula cha nguvu kisha unasema "sisi wasiofunga....." nauona kama uchokozi kwa anaefunga. kama ww huoni hivyo na siyo kusudio lako, basi usinielewe vibaya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom