Polisi yamzuia askofu Mokiwa Bukoba

Polisi yamzuia askofu Mokiwa Bukoba

Karibu bibi, hongera kwa mapumziko ya lazima! Nimefurahi kukuona tena. Ila usirudie makosa tena.

Hili kanisa si ndiyo lile mkubwa wao huko USA aliolewa na mwanamme mwenzake?
 
ivi we [HASHTAG]#mokiwa[/HASHTAG] hujui kua hutakiwi au..??
kwani lazima uwe askofu wewe tu, hakuna wengine!!
Polisi kazi nzur iyo, weka lockup [HASHTAG]#mokiwa[/HASHTAG]
 
Bk wako Waangalikana japo ni wa wachache. That is what we call " THE JESUS INDUSTRY,"
 
Back
Top Bottom