MARUMARU
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 250
- 53
Katika hali isiyo ya kawaida Polisi mkoa Kilimanjaro imewakatalia CHADEMA kufanya mkutano wao katika eneo walilokusudia kufanya mkutano, taarifa ya kukataliwa kufanya mkutano katika eneo la stendi imekuja saa chache kabla ya mkutano, hii iliwachanganya viongoziwa CHADEMA ili kwa busara waliamua kuhamishia mkutano huu Majengo. Ili cha kustaabisha polisi wamedai kwamba CHADEMA hawruhusiwa kufanya mkutano eneo kwa madai ni maegesho ya magari japo Nape aliruhusiwa kufanya mkutano wa hadhara eneo miezi michache iliyopita, swali je polisi ni jeshi la CCM?