Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,935
- 27,458
ilitatuka kidogo kwenye mashono
msikuze mambo
msikuze mambo
Shida ni kwamba brainless people are easier to control. Mfumo hautaki watu wenye weledi wanaoweza kuhoji illegal orders, wanataka majinga majinga ya kufuata amri tu.
Kuna bosi wao aliwahi kufafanua kuwa huwezi kumchukua Div 1 ukampanga lindo la usiku (wakati mwingine kuna mvua na mbu). Ndo maana inabidi wachukue hao wasio na options zingine
nimeogopa😥
Nimecheka sana aisee 😂😂😂
Sema hizi ajira za upolisi ni za akabu sana yaani huwa wanaokotwa tu from no where.
Nakumbuka kuna siku mshikaji wangu aliitwa kituoni tena kikubwa kabisa cha Polisi kwenda pale tukakuta binti amevaa magwanda ya Polisi yaani kwa kumuangalia tu yule hajawahi hata kufanya course yoyote ya ulinzi hata JKT hajaenda yule.
Tumeemda mpaka kwa yule askari aliyempigia simu mshikaji ametuhoji kama saa moja na dk kadhaa, wakati tunaondoka pale mlangoni kile kibinti kikawa kinatuchekea 😂😂😂
Tukakiomba nauli kikasema hela ipo kwenye account na hapa nina ATM card, nikakiambia nikushikie lindo ukatoe hela kikakubali eti 🤣🤣🤣
ok.View attachment 3656303
Picha aliyoisemq Tundu Lissu ni hii kwamba akiwa Tarime alipigwa na Polisi mpaka wakachana Kombati yake.
Hii Kombati ilivyo ngumu inakuwaje wanampiga mpaka kuichana?
Yawezekana walikuwa wanamgawana. Msomi na mtetezi wa rasilimali za nchi na mtu anayependa haki na usawa. Anafanyiwa hivi na Polisi form division 4 au zero kabisa.
Hii nchi inahitaji sana ukombozi kutoka kwenye makucha ya Ukoloni Mamboleo