Polisi wazuia mkutano wa UKAWA Zanzibar

Polisi wazuia mkutano wa UKAWA Zanzibar

Ningeshaa sana kama mkutano huu ungefanyika,
1UKAWA si chama cha siasa.ni kundi fulani ndani ya bunge tu
2)Hao UKAWA wametoroka kazi bungeni baada ya kutumia fedha nyingi za umma
3)Hao UKAWA wametoroka bungeni baada ya kukashifu waasisi na wakiwa na munkari
4)Kwa maana hii walikuwa wanaenda kuendeleza munkari na kashfa zao mitaani
5)KINANA hajatoroka bungeni,hajakashfu mtu hat mdogo na hana munkari wowote

attachment.php


1. Kwa hiyo kwa hayo uliyoyaeleza na Barua hii inavyojieleza na vipi Katiba Ya jamhuri ya muungano tuliyonayo kuna sehemu inayokataza hayo waliyotaka kuyafanya hao wana CUF + UKAWA hapo viwanja vya Demokrasia?

2. Kati ya Hao waliotoka katika hilo Bunge la Katiba na hao waliobaki ni kundi lipi kwa akili yako linalosimamia KATIBA YA WANANCHI, kwani Katiba ya Wananchi ni ile itakayopatikana kutokana na maoni ya wananchi na sio CCM
 
naomba nakala ya usajili wa chama kiitwacho ukawa.

unification of political parties,
its not only politicaly
but also publicaly.
Special freedom struggle for all tanzanians, en' u also against c.c.m colonial rule.
"i need my tanganyika back".
 
Kinana, Nape na Balozi Karume wasimamishe mikutano yao

Vinginevyo polisi hawataeleweka
 
Mtaisoma......
Tunapotetea UMOJA NA MSHIKAMANO WETU hatuna simile. Ni afadhali tukawafuta na kuwatokomeza MENDE ili nyumba yetu I we salama
 
TANGAZO!


Baada ya CCM kushtushwa na mapambano makali ya UKAWA yaliyohamia nje ya Bunge la Katiba, waamua kulitumia jeshi la Polisi kuzuia Mikutano ya hadhara ya UKAWA.

​
18th April 2014 17:28 POLISI.jpg



Mkutano wa kesho Jumamosi tarehe 19/04/2014 wafutwa rasmi. Sababu iliyotolewa na Kamishna wa jeshi la Polisi Zanzibar ni hofu ya uwezekano wa kutokea vitendo vya ugaidi siku ya kesho.
Wazalendo wote vuteni subra, nguvu ya umma haizuiliki!
HAKUNA KUSIMAMA MPAKA KIELEWEKE!

Kwa mfumo wa kidemkrsia maoni yanakusanywa na Tume na inaanda rasimu ya katiba kwa bunge maalum.Bunge maalum linapitia na kutumia rasimu NA KUTUNGA KATIBA.Kura ya maoni
itafuaata.Bunge ndilo linawakilisha wananchi.wabunge wa ccm ndio wanawakilisha wananchi walio wengi.kwa kweli wabunge wa ccm ndio wenye haki ya kutuletea katiba ya wananchi.ha UKAWA waomepora jukumu lisio lao
 
Mi nashangaa hawa polisi wetu,huku bara kinana na team yake ya ccm wanaendesha mikutano wala hawakatazw,wapinzan wameamua kwenda kuanzia zanzibar mnawapiga stop.hii si nnchi moja au ni nchi mbili tofauti zenye majesh mawili tofauti ya polisi,kwanin mnawanyima wanzanzibar haki yao ya msing kwa mwamvul wa vurugu.wastopishen na kina kinana kipind hich cha katiba wawaache wananch wafatilie bunge sio wawafatilie wao majukwaani!
 
huu ni uonevu mbona kinana kazunguka nchi nzima bila kikwazo? Hujuma hujuma hujuma hujuma ukawa msikubali km mnataka 2waunge mkono
 
Mimi siwaelewi UKAWA hata kidogo! Yaani badala ya kutunga Katiba Mpya Bungeni, Wao wanazurura tu kukusanya "sadaka!"
 
Ccm wapo ukingoni...wanaelekea kuanguka. chama dola nguvu yake inaegemea kwa dola tu kama mbuyu...siku mbuyu ukioza na kushuka....anguko hilo ni wachache wnaojua mshindo wa mbuyu.

Hata enzi za Gadhafi alishajihakikishia kujilinda na kudhani 'anapendwa' sana hadi kuwakejeli waandamanaji kuwa ni PANYA wanaohangaika, alichoshtukia ni pale 'panya' walipoungana na 'PANYA waliokabidhiwa silaha ili kumlinda' (wanajeshi wake mwenyewe) hadi kakimbilia ktk makaro ya Panya kweli, alikookotwa na kujitambua kuwa ni Panya wake mwenyewe wamemweka mikononi...majeshi hayana reliable sustainability kwa wanasiasa...! Siku jeshi linaona kilio cha umma kinasimama imara nalo linasimama kulinda haki na uimara, wanaamua ukweli. Ccm wanaelekea mwishoni.

usitutishe… . we
 
Nlikuwa nausubiria mkutano huu zaidi ya mechi ya simba na yanga
 
Zanzibar ni mahali pa kuanzia tu kama watakataza Zanzibar naamini bara hawatakataza na wakikataza itafahamika wazi kuwa ni njama za ccm ingawa hata sasa ni njama
Na watatujuza kinana na nape walipokuwa wanatamalaki kila kona walikuwa na uhalali gani?
 
Bora, hakuna cha CUF wala CCM, wanataka kutoa nafasi ya uamusho kumwagia watu tindikali tu hao


Fikiria kwa makini intr anahusika na tindikali coz alikusudia atawatia watu hofu watu hatuna hofu tena liwalo na liwe
 
Katiba mpya wanayo magamba walichotaka ni kutaka kujifanya wanajadili kisha wapige kura ,kwakuwa wako wengi ionekane katiba imetungwa na watanzania wote na si maccm (kulikuwa na hajagani kutumia mabilioni kwenye tume wakati katiba tayari wanayo?)
Mimi siwaelewi UKAWA hata kidogo! Yaani badala ya kutunga Katiba Mpya Bungeni, Wao wanazurura tu kukusanya "sadaka!"
 
Unajua ile sheria ya ugaidi ccm waliikubali kutoka kwa bush ili kuwanamiza waislam pamoja na vyama vya upinzani.
Hivyo mujue interhatamwe wame jizatiti
 
Back
Top Bottom