Siku zote tunawambia ccm kuendelea kuongoza inatia hasara tu taifa letu, hiki chama kimeoza siku nyingi, ni uozoKwa heshima na taadhima namuomba Mh. RAIS wetu, ndugu yetu, Bwana JOHN POMBE MAGUFULI make yeye ndo nahodha kwenye timu yetu(Tanzania) Afanye usajiri kwa upande wa walinda mlango(Wanasheria wetu).Kuna udhaifu mkubwa sana kwenye jopo la wanasheria wa Serikali yetu na Mara nyingi huwa kesi nyingi wanashindwa. Kwenye jopo hilo naomba TUNDU LISU awemo kulingana na umahili wake katika sheria naamini atatoa msaada mkubwa kwenye timu yetu na Nina imani tutashinda.
Jamani kwenye hili suala la mchanga tuwekeni itikadi zetu pembeni na tusimame kama Taifa.Mambo ya CCM na CHADEMA tuyaache kwanza tutetee raslimali zetu tukiwa wamoja.Nia ya Rais wetu ni njema kabisa tumsapoti.
Usishangae kukuta wanasheria wetu ss hiv wako bizee na kesi za mitandaoniInahitajika busara kubwa sana kuihandle hii ishu, bila shaka wanasheria wa ACACIA wapo chimbo wanajipanga, natamani na wa kwetu wawe maeneo wakiandaa nondo za kutetea kilicho chetu........vinginevyo tutakuja kutupiana Mpira hapa, kila MTU akikana msimamo wake na mwisho ikawa aibu kwa TAIFA.
Kwa hili katiba bora ni muhimu ili tuwe salama.Kwa sasa hivi tumempata HUGO CHAVES wetu tunasheherekea, lakini punde atakuja MADURO, hapo ndipo tutakapolia na kusaga meno. We better watch it and be very very careful.
Mkuu CHLOVEK huyu tuliye nae ndio Maduro mwenyewe, Hugo Chavez wetu waz The late The Great Julius K. Nyerere, Genius. Huyu wa sasa ni Maduro mtupu and only time will tell. Hana vision, ueled wa uchumi wa nchi mdogo basi tabu tupu. He is a hard worker, bt he was supposed to be under some one to monitor amd control his decisions km ilivyokuwa kipind kile JK na Pinda. Ss hv yy ni top bas kila kitu ni vulu vulu.Kwa sasa hivi tumempata HUGO CHAVES wetu tunasheherekea, lakini punde atakuja MADURO, hapo ndipo tutakapolia na kusaga meno. We better watch it and be very very careful.
Hii ni penalti kwa upande wetu, endapo tu ukweli wa ripoti ndo Uwe ukweli uliomo kwenye kontena. Ukimpiga mtu ngumi ya uso tena kwa kushitukiza la muhimu ni kusoma tabia yake, ukiona kawa mpole na kunena kwa busara, jua kuwa busara hiyo haitokani na kukuogopa wewe baliKula kwetu ni lazima tu Mkuu, tumekosa umakini wa kukaa chini kama Watanzania kutafakari kwa kina ili kujinasua katika hii mikataba iliyojaa ufisadi. Kwa mara nyingine tena WAMEKURUPUKA!
inatokana na kitu kingine anachokiogopa kuliko wewe.Wa kwetu ni kama huwa wanastukizwa yani... wakiingia mahakamani chaliInahitajika busara kubwa sana kuihandle hii ishu, bila shaka wanasheria wa ACACIA wapo chimbo wanajipanga, natamani na wa kwetu wawe maeneo wakiandaa nondo za kutetea kilicho chetu........vinginevyo tutakuja kutupiana Mpira hapa, kila MTU akikana msimamo wake na mwisho ikawa aibu kwa TAIFA.
Alikwambia anakwenda kuchallenge majiolojia??? kwa hiyo wewe kuheshimu kiongozi wako hadi awe na elimu kukuzidi wewe..au, sasa hivi kila kitu kiki kiki..kiki ndio upuuzi gani, mambo ya maana mnaleta ushabiki na misemo ya ujinga tu!Mkuu wa mkoa sifa yake ni kusoma na kuandika tu, sasa huyo mama anawezaje ku challenge geologists wakati yeye KK mbili tu ndio uwezo wake na ile K ya kuhesabu haina maana kwake. Jibu ni kuwa ameenda pale kutafuta KIKI. Hizi kiki zitatuponza, wakati huu kamati ya wanasheria na wataalam wa uchumi inamalizia kazi ilitakiwa watanzania tuwe watulivu akiwemo mkuu wa mkoa. Sijaona mahali Mh Raisi amewaambia wasimamishe uzalishaji, na TMAA imetumbuliwa uongozi nashangaa wizara imeshindwa kuoganaizi haraka kazi ziendelee kwa mujibu wa mkataba
MAGUFULI si alisema atawalinda kwa nguvu zote hata kama waliibia nchi yetu tajiri ya TANZANIARais Magufuli si mpumbavu, ana washauri wake. Watanzania lazima tuwe wamoja kwa sakata hili maana tuliibiwa sana na ninahapa hapa LAZIMA Mkapa na Kikwete watakuwa wanahusika. Magufuli tafadhali kamata 'mwizi man' ikiwezekana wanyongwe au kufungwa mara moja. Hawa watu ni wezi hata Mungu hataki kuwaona.
Unataka negotiation na mwizi?? Ili akubali kweli kaiba??
True ! Hata mimi simo .Leteni ushamba tu,mtaaibika mda sio mrefu.msinihusishe
Inawezekana pia watu wanajipanga kwa ajili ya uchaguzi 2020. Pesa inapigwa in a more advanced way. What I can smell here is, Juma Mwapachu ataachia ngapi kwenye ujumbe wa board ya ACACIA, watu watakaa mezani kama kawa kuihandle hii issue, na bei watafika then mambo yataenda kisawa sawa. Duniani hamna mtu asiyekuwa na bei.Kula kwetu ni lazima tu Mkuu, tumekosa umakini wa kukaa chini kama Watanzania kutafakari kwa kina ili kujinasua katika hii mikataba iliyojaa ufisadi. Kwa mara nyingine tena WAMEKURUPUKA!
Wakati mwingine viongozi wanafanya kazi nzuri,wakati mwingine wanafanya makosa kwa kujiona wao ndio mwisho wa mambo yote,inamaana mkuu wa mkoa hakujua kuwa anatakiwa aongozane na TMAA katika kufanikisha kazi hiyo?.By Peter Saramba, Mwananchi
Kahama. Jeshi la Polisi limeuzingira mgodi wa Bulyanhulu baada ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Tellaack kuzuiwa kuingia katika mgodi huo alikokwenda kukagua iwapo uzalishaji unaendelea bila kuwepo kwa Maofisa wa Wakala wa Ukaguzi wa Madini nchini (TMAA).