Polisi wazingira mgodi wa Bulyanhulu

Polisi wazingira mgodi wa Bulyanhulu

simlaumu Acacia sitakajua kumlaumu hata siku moja ,ujinga na ngiriba za ccm zimetufikisha hapa kumbukeni hata sauti ya ukali alioitumia mkapa kuwatetea wawekezaji walioitwmakaburu akatwambie tukome mwisho wasiku ccm ikaridhia kupisha huu unyapala wa ubinafsishaji kwenye mikutano ya chama hakusema magufuli wala nani mule ndani,eti leo tunajishebedua kuwa tumeibiwa sana hadi mnataka kulia bado hatua zinazo chukuliwa ni zilezile za kuingiza taifa kwenye mess
Alisema "Paka ni paka ilimradi awe na uwezo wa kukamata panya[emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Wale vigogo wa mgodi waliokaidi amri ya mkuu wa mkoa watiwe ndani for 48 hours ili washike adabu, ila hawa wengine 'manamba' waachiwe waenende zao kwa 'Amani ya Bwana'. Wao sio decision maker kwa hiyo hawakuwa na maamuzi ya nani aingine na nani asiingie mgodini... Pole mkuu wa mkoa kwa kudharauliwa ndani ya himaya yako!

Ukishawaweka ndani?

Hii ndo akili ya viongozi wa Afrika. Kuwaza kutumia nguvu sehemu ya kutumia akili..
 
Ndiyo maana Lissu alisema tujitoe kwanza MIGA mengineyo tutayafanya taratibu. Ameuona Mkataba wa Bulynkulu anajua vyema ulivyo na madudu na shareholders wengine ni wale tuliowapa Dhamana ya kuongoza.

Siyo Mara ya kwanza Migodi kuwakatalia Viongozi kuingia ndani,walimkatalaia waziri na ujumbe wake tena waziri mwenye dhamana sembuse mkuu wa Mkoa anayejua KKK.

Tukiambiwa mikataba ni mbovu ndiyo sababu wanafanya hivi kwa taratibu wanajua wapi watatushika tu.

Kumbukeni kuna akina Mkapa na JK huko msije mkasema hatukuambiwa.

Tuwasikilize na mawazo ya wengine tupate kushinda kama tunafikiri tu kumsikiliza Mpinzani atapata kick basi tumeumia.

Kama.Lissu alishaipata alipowatetea wale 328 waliozikwa kwenye KABURI moja tena bila kulipa senti tano

Na serikali yenu mwaka juzi imefanya mazishi yao pamoja na Mkapa kukataa kwamba kulikuwa hakuna Watanzania, ndiyo sababu akasema dhahabu ni bora kuliko Mtanzania wengine hawakumuelewa

Hawa watu wana mawazo ya kimasikini sana.

Wanadhani haya makampuni makubwa ya kimataifa ni ya kuwaendesha kwa kutumia polisi na jeshi.

Acacia inaweza kuifilisi serikali, sema watu wanaendeshwa na mihemko.
 
Bora ile kwetu lakini waondoke hao mbwa wameshatuibia sana **** hao
 
Hawa watu wana mawazo ya kimasikini sana.

Wanadhani haya makampuni makubwa ya kimataifa ni ya kuwaendesha kwa kutumia polisi na jeshi.

Acacia inaweza kuifilisi serikali, sema watu wanaendeshwa na mihemko.
sa si ndiyo hapo!!!!!!!
 
Wanauzingira wakati humo mgodini kuna air strip na ndege yao Dash 8 huwa inatua.
 
Thursday, May 25, 2017
Polisi wazingira mgodi wa Bulyanhulu


pic+mgodi+wa+bulynkulu.jpg



Kwa ufupi
  • Jeshi hilo limefanya hivyo baada ya Tellack kuagiza kuimarisha ulinzi katika eneo lote la mgodi huo kuhakikisha hakuna mtu anayetoka wala kuingia.
By Peter Saramba, Mwananchi
Kahama. Jeshi la Polisi limeuzingira mgodi wa Bulyanhulu baada ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Tellaack kuzuiwa kuingia katika mgodi huo alikokwenda kukagua iwapo uzalishaji unaendelea bila kuwepo kwa Maofisa wa Wakala wa Ukaguzi wa Madini nchini (TMAA).

Jeshi hilo limefanya hivyo baada ya Tellack kuagiza kuimarisha ulinzi katika eneo lote la mgodi huo kuhakikisha hakuna mtu anyetoka wala kuingia.

Mapema leo, Mkuu huyo wa mkoa alitembelea mgodi mwingine wa Buzwagi ambao pia unamilikiwa na kampuni ya Acacia kama ulivyo ule wa Bulyanhulu.

Katika mgodi wa Buzwagi, Tellack na msafara wake waliruhusiwa kuingia na kishuhudia shughuli za uchimbaji ukiwa umeshitishwa kwa kukosekana maofisa wa TMAA walioondoka mara baada ya Rais Magufuli kutangaza kuvunja bodi na kutengua uteuzi wa watendaji wakuu wa wakala hiyo.
Hii issue tusipokuwa makini itaitumbukiza hii Nchi kwenye janga kubwa. Tukumbuke hii ni mikataba na viongozi wamesaini kwa kujali matumbo yao na ni wazi kuwa imeshakula kwetu.
 
Acheni uoga ******* nyie. Haya madini yapo nchi ya nani. Hawataki wasepe. Mbona uarabuni mafuta yao hawazinguliwi hivo. Nyie ndo mnaotuletea kauzibe
Sasa matusi ya nini mkuu........sijakuqoute, nimechangia mawazo yangu halafu unanitusi.......ww unapochangia huwa unatukanwa?
HV una wazazi kweli....... Maana MTU mwenye malezi bora ya wazazi hawezi tukana watu hovyo.
 
Back
Top Bottom