TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,596
- 28,659
Inasemekana Mama hakuzuiwa kuingia ila alishindwa kuingia strong room kutoka na wahusika wa hiyo strong room kutokuwepo!
Hahaha kwamba ikifika mwezi wa saba bado uko mjini basi ww ni mwanaume wa shoka.Tujiandae kufulia magome ya miti!
Maana myanya ya pesa yote inatikiswa kwa msemo Wa haponi mtu!
Hicho ndio kinanipa hofu,loh nahisi tutaishi km mashetani haswa. Maana kufidia hiyo hasara yao si mchezo.Wakisitisha tambua kwamba Tutalipa gharama. yaani kana wamesitisha basi gharama zitalipwa na alie agiza wasitihse. uzuri Kodi zipo na hakuna kiongozi atake toa pesa mfukoni mwake kulipa gharama
Wengine yetu macho.....Kula kwetu ni lazima tu Mkuu, tumekosa umakini wa kukaa chini kama Watanzania kutafakari kwa kina ili kujinasua katika hii mikataba iliyojaa ufisadi. Kwa mara nyingine tena WAMEKURUPUKA!
Kwa sasa hivi tumempata HUGO CHAVES wetu tunasheherekea, lakini punde atakuja MADURO, hapo ndipo tutakapolia na kusaga meno. We better watch it and be very very careful.Thursday, May 25, 2017
Polisi wazingira mgodi wa Bulyanhulu
![]()
Kwa ufupi
By Peter Saramba, Mwananchi
- Jeshi hilo limefanya hivyo baada ya Tellack kuagiza kuimarisha ulinzi katika eneo lote la mgodi huo kuhakikisha hakuna mtu anayetoka wala kuingia.
Kahama. Jeshi la Polisi limeuzingira mgodi wa Bulyanhulu baada ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Tellaack kuzuiwa kuingia katika mgodi huo alikokwenda kukagua iwapo uzalishaji unaendelea bila kuwepo kwa Maofisa wa Wakala wa Ukaguzi wa Madini nchini (TMAA).
Jeshi hilo limefanya hivyo baada ya Tellack kuagiza kuimarisha ulinzi katika eneo lote la mgodi huo kuhakikisha hakuna mtu anyetoka wala kuingia.
Mapema leo, Mkuu huyo wa mkoa alitembelea mgodi mwingine wa Buzwagi ambao pia unamilikiwa na kampuni ya Acacia kama ulivyo ule wa Bulyanhulu.
Katika mgodi wa Buzwagi, Tellack na msafara wake waliruhusiwa kuingia na kishuhudia shughuli za uchimbaji ukiwa umeshitishwa kwa kukosekana maofisa wa TMAA walioondoka mara baada ya Rais Magufuli kutangaza kuvunja bodi na kutengua uteuzi wa watendaji wakuu wa wakala hiyo.
Unataka negotiation na mwizi?? Ili akubali kweli kaiba??Kula kwetu ni lazima tu Mkuu, tumekosa umakini wa kukaa chini kama Watanzania kutafakari kwa kina ili kujinasua katika hii mikataba iliyojaa ufisadi. Kwa mara nyingine tena WAMEKURUPUKA!
Hivi mnahisi mnadili na Roma mkatoliki eeeh ?Wale vigogo wa mgodi waliokaidi amri ya mkuu wa mkoa watiwe ndani for 48 hours ili washike adabu, ila hawa wengine 'manamba' waachiwe waenende zao kwa 'Amani ya Bwana'. Wao sio decision maker kwa hiyo hawakuwa na maamuzi ya nani aingine na nani asiingie mgodini... Pole mkuu wa mkoa kwa kudharauliwa ndani ya himaya yako!
I am result oriented person... Yes, it sounds good and I like it lakini muhimu kwangu score board itasoma nini baada ya dakika 90!!
Tanzania ni zaidi ya uijuavyo!! Unaweza kuta tunashangalia vyenga, makanzu, matobo na kila mbwembwe za soka! Tunashambulia lango la adui kama nyuki!
In no time, inapigwa bonge la counterattack na sekunde 10 baadae, tunaokota mpira kwenye nyavu zetu wenyewe!!!
Haidhuru, wapo watakaokuja na kusema... sio kwa Stars hii ya Samatta!
Kwani huo mchanga una nini ? Hakuna haja kukusanya mawakili..*Ushauri kwa _Tundu Lisu_*
Ukiwa Kama mwanasheria mashuhuri nakuomba ulisaidie Taifa na hawa mapepari na majizi ya rasilimali zetu wanaojiandaa kwenda kulishitaki Taifa letu kwenye Mahakama za kimataifa kisa tu Taifa limechukua hatua kwa namna tunavyoibiwa rasilimali zetu na hao mapepari wanatumia mgongo wa sheria tena walizotunga wao na zinabeba hao hao kuendelea kutunyonya kwa kigezo cha Mahakama za kimataifa.
Ni kweli kutokana na sheria za kimataifa zilivyokaa ikitokea ACACIA wakaenda mahakamani Taifa litawalipa fidia kubwa sana, pesa ambazo ni kodi za sisi wananchi wa hali za chini. Ifahamike kuwa hawa wawekezaji wanatuibua kwa kutorosha rasilimali zetu wakijua mwisho wa siku kuna sheria za kimataifa zilizotungwa na hao hao zitawatetea tena. Kwa lengo la kizalendo nakuomba Tundu Lisu Ukiwa Kama Rais wa TLS na pia Mtanzania mwenzetu andaa timu yako ya wanasheria mahili (Akina Malya, Mabere Malando, Chenge) na wengine wengi kuhakikisha mnaenda kupambana nao huko kwenye Mahakama zao wanakopanga kwenda kulishitaki Taifa.
Kwa hili la rasilimali zetu tuweke uvyama pembeni tuungane kumuunga mkono Mh Raisi kwa hatua alizochukua. Ni kweli kabisa bado Kuna changamoto nyingi kwenye uwekezani wa rasilimali zetu haswa katika upande wa mikataba na sheria mbovu zinazosimamia hiyo mikataba iliyosainiwa na viongozi wetu ambao pia ni Watanzania wenzetu (wengine bado wapo madarakani eg. Akina Chenge kipindi hicho akiwa mwanasheria mkuu wa Serikali) .
Hivyo basi kwa hatua za awali hawa wanaojiita wawekezaji tukiwashinda kwa hili la mchanga hayo mengine ya mikataba kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu siku moja pia tutayafikia tu.
*UKWELI HUWA UNA ASILI YA KUUMIZA, ILA KWA HILI LA RASILIMALI ZETU TUSIMAME UPANDE WA UKWELI*
Ni mimi
Magesa Matwengo
(Kijijini Karukekere_Bunda).
iliyopita tatzo miaka walikuwa wapi mkuu..au ndo wanakuja kunyanyasa watu tu mjini wliopaki magari vbaya..huko ndo kwakutumia risasi sio uraianiSafi sana, kwa hili namuunga mkono mh. Raisi
Hiyo ni serious! Kuna watu wanadhani masihara! Kubomoa uchumi ni rahs sana ila kuujenga it takes number of years!Hahaha kwamba ikifika mwezi wa saba bado uko mjini basi ww ni mwanaume wa shoka.
akilinzuri sanah...ile zana ya unyongaji irudishwe tu..tuheshimiane bwanahWawekezaji tunawaonea tu kuanzia nkapa na wahusika wote waliosababisha ni wakunyongwa tu. Na kufilisiwa. ..
sawa ila bila fimbo punda haendi...ndo tunavopend sie watzHiyo ni serious! Kuna watu wanadhani masihara! Kubomoa uchumi ni rahs sana ila kuujenga it takes number of years!
Point ya kupark gar ndani ya geti Na kutembea kwa miguu kwenda kazin kwa kukwepa sheli na services inakuja sio mda!
Maisha yamekuwa magumu kila siku ni afadhali ya jana.Hiyo ni serious! Kuna watu wanadhani masihara! Kubomoa uchumi ni rahs sana ila kuujenga it takes number of years!
Point ya kupark gar ndani ya geti Na kutembea kwa miguu kwenda kazin kwa kukwepa sheli na services inakuja sio mda!