Polisi wazingira mgodi wa Bulyanhulu

Ndiyo maana Lissu alisema tujitoe kwanza MIGA mengineyo tutayafanya taratibu. Ameuona Mkataba wa Bulynkulu anajua vyema ulivyo na madudu na shareholders wengine ni wale tuliowapa Dhamana ya kuongoza.

Siyo Mara ya kwanza Migodi kuwakatalia Viongozi kuingia ndani,walimkatalaia waziri na ujumbe wake tena waziri mwenye dhamana sembuse mkuu wa Mkoa anayejua KKK.

Tukiambiwa mikataba ni mbovu ndiyo sababu wanafanya hivi kwa taratibu wanajua wapi watatushika tu.

Kumbukeni kuna akina Mkapa na JK huko msije mkasema hatukuambiwa.

Tuwasikilize na mawazo ya wengine tupate kushinda kama tunafikiri tu kumsikiliza Mpinzani atapata kick basi tumeumia.

Kama.Lissu alishaipata alipowatetea wale 328 waliozikwa kwenye KABURI moja tena bila kulipa senti tano

Na serikali yenu mwaka juzi imefanya mazishi yao pamoja na Mkapa kukataa kwamba kulikuwa hakuna Watanzania, ndiyo sababu akasema dhahabu ni bora kuliko Mtanzania wengine hawakumuelewa
Labda tujitoe MIGA kwa sababu ya Siku za usoni, lakini kujitoa MIGA ili tushughulike na hili haliwezekani, sababu yote yalifanyika chini ya kinga ya mkataba wa MIGA. Hivyo hili tayari limekula kwetu. Tujiandae kulipa fidia ya muda wote Tangu tuzuie yale makontena kusafirishwa, kutoa taarifa zilizopelekea kushuka kwa hisa n.k.
Ile taarifa ya Tume ilipaswa kutumika kuwawajibisha maofisa wa serikali lakini si kuzuia makontena yao wala kuwazungushia askari na kuzuia watu kuingia na kutoka na kusimamisha uzarishaji wao.
Naiona Tanzania ikipita njia iliyotumiwa na Zimbabwe and soon tunafika ilipo Zimbabwe, maana hata afanyacho Mugabe nacho ni uzalendo.
 
Tuliokuwepo 67 tunakumbuka maandamano na majina tuliyowaita watu. Ubepari ni unyama, ni kama wanyama wa mwituni........! Yaliishia wapi? Hata kabla mwalimu hajaaga tulishageuka mawe aliyokataa kugeuka. Nini maana ya utandawazi. Mchina alianza na ukomunisti wake sasa hivi anawazidi hata mabepari waliomtangulia. Kuna wachina wana pesa kuliko serikali yoyote ya Afrika. Waulize wacuba, Venezuela na aina yao kiko wapi?
Aisee... umetoa mfano mtamu sana manake kwa mfano huo sidhani kama kuna mwehu wa kusema "...sio kwa Stars hii ya Samatta!"
 
Katiba ya warioba tunaitaka, hizi zingine ni mbwembwe tu, tumepoteza mabilioni kuindaa halafu anasema sio kipaumbele chake.
Na kwamba ile ya MANGI MEZA SITTA NA CCM hatuitaki,kwetu SKELETON ya Babu Warioba ndiyo mzigo wa uhakika na ni katiba ya ukombozi
 
Labda tujitoe MIGA kwa sababu ya Siku za usoni, lakini kujitoa MIGA ili tushughulike na hili haliwezekani, sababu yote yalifanyika chini ya kinga ya mkataba wa MIGA. Hivyo hili tayari limekula kwetu. Tujiandae kulipa fidia ya muda wote Tangu tuzuie yale makontena kusafirishwa, kutoa taarifa zilizopelekea kushuka kwa hisa n.k.
Ile taarifa ya Tume ilipaswa kutumika kuwawajibisha maofisa wa serikali lakini si kuzuia makontena yao wala kuwazungushia askari na kuzuia watu kuingia na kutoka na kusimamisha uzarishaji wao.
Naiona Tanzania ikipita njia iliyotumiwa na Zimbabwe and soon tunafika ilipo Zimbabwe, maana hata afanyacho Mugabe nacho ni uzalendo.

Mugabe naye baada ya kupokea pesa za wazungu akazila alipokumbuka shuka asubuhi ndipo anakumbuka kumbe niliwaahidi watu ardhi.Waafrika tumezingirwa na choyo,ulafi na wazungu wametusoma wakajua ukimpa Muafrika pesa na kabenzi basi umehamisha akili na utu wake wote.

Akina Mugabe ndiyo type ya watawala wa kiafrika.Afrika itaendelea tu ikipata viongozi kama akina JKN na Sokoine lakini kwa type ya kina Mugabe sijui,tunadanganywa tu.
 
Inahitajika busara kubwa sana kuihandle hii ishu, bila shaka wanasheria wa ACACIA wapo chimbo wanajipanga, natamani na wa kwetu wawe maeneo wakiandaa nondo za kutetea kilicho chetu........vinginevyo tutakuja kutupiana Mpira hapa, kila MTU akikana msimamo wake na mwisho ikawa aibu kwa TAIFA.
*Ushauri kwa _Tundu Lisu_*

Ukiwa Kama mwanasheria mashuhuri nakuomba ulisaidie Taifa na hawa mapepari na majizi ya rasilimali zetu wanaojiandaa kwenda kulishitaki Taifa letu kwenye Mahakama za kimataifa kisa tu Taifa limechukua hatua kwa namna tunavyoibiwa rasilimali zetu na hao mapepari wanatumia mgongo wa sheria tena walizotunga wao na zinabeba hao hao kuendelea kutunyonya kwa kigezo cha Mahakama za kimataifa.

Ni kweli kutokana na sheria za kimataifa zilivyokaa ikitokea ACACIA wakaenda mahakamani Taifa litawalipa fidia kubwa sana, pesa ambazo ni kodi za sisi wananchi wa hali za chini. Ifahamike kuwa hawa wawekezaji wanatuibua kwa kutorosha rasilimali zetu wakijua mwisho wa siku kuna sheria za kimataifa zilizotungwa na hao hao zitawatetea tena. Kwa lengo la kizalendo nakuomba Tundu Lisu Ukiwa Kama Rais wa TLS na pia Mtanzania mwenzetu andaa timu yako ya wanasheria mahili (Akina Malya, Mabere Malando, Chenge) na wengine wengi kuhakikisha mnaenda kupambana nao huko kwenye Mahakama zao wanakopanga kwenda kulishitaki Taifa.

Kwa hili la rasilimali zetu tuweke uvyama pembeni tuungane kumuunga mkono Mh Raisi kwa hatua alizochukua. Ni kweli kabisa bado Kuna changamoto nyingi kwenye uwekezani wa rasilimali zetu haswa katika upande wa mikataba na sheria mbovu zinazosimamia hiyo mikataba iliyosainiwa na viongozi wetu ambao pia ni Watanzania wenzetu (wengine bado wapo madarakani eg. Akina Chenge kipindi hicho akiwa mwanasheria mkuu wa Serikali) .

Hivyo basi kwa hatua za awali hawa wanaojiita wawekezaji tukiwashinda kwa hili la mchanga hayo mengine ya mikataba kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu siku moja pia tutayafikia tu.

*UKWELI HUWA UNA ASILI YA KUUMIZA, ILA KWA HILI LA RASILIMALI ZETU TUSIMAME UPANDE WA UKWELI*

Ni mimi

Magesa Matwengo
(Kijijini Karukekere_Bunda).
 
Leteni ushamba tu,mtaaibika mda sio mrefu.msinihusishe
Uhusishwe kwa lipi ewe nyumbuz?!
nyie farijini fisadi lenu hapo muhimu mkono uende kinywani!
Pole sana Majangili wala siyo wazungu ni Watanzania wenzetu tuliowapa Dhamana akina Che Mkapa na JK.Usiwalaumu wazungu wakati kuna Watanzania wanaakili za kujaza choo tu.Wanafikiria matumbo yao ndiyo sababu sitompongeza wala kumpigia makofi Magufuli maana alikuwepo kwenye kufunga sheria zenye ukakasi,wakawatukana Wapinzani tena kwa mbwembwe za kuwaita kila majina mabaya leo ati tuwaite wazalendo kwa lipi.

Mafuta Majanga hula na wakwao
 
Uhusishwe kwa lipi ewe nyumbuz?!
nyie farijini fisadi lenu hapo muhimu mkono uende kinywani!

Kama una UBAVU kamshatki MKAPA mweney shares huko.IS ndiyo huyu aliyepewa DHAHABU ya bure na hao ACACIA?Aliipeleka wapi??Wewe panya wa Lumumba unajua chanzo cha mikataba mibovu ni hao MAPANYA wakubwa wanaojiita MARAIS waastaafu au unafikira nini?SI ndiyo aliyopeleka watu wakauawa huko au siyo Mkapa?

Acheni unafiki,tuliowapa dhamana ndiyo wametuingiza huko.Kwangu haijalishia kama ni punda au mnyoo,amehusika ashtakiwe.
 
Hao watendaji wa TMAA tunapaswa tuwakabidhi kwa rais wa Korea ya Kasikazini kwanza ili wakashikishwe adabu.
 
Makomeo kasha panic, na ukweli utajulikana tu, wanatuletea riport ya kupika data
 
I am result oriented person... Yes, it sounds good and I like it lakini muhimu kwangu score board itasoma nini baada ya dakika 90!!

Tanzania ni zaidi ya uijuavyo!! Unaweza kuta tunashangalia vyenga, makanzu, matobo na kila mbwembwe za soka! Tunashambulia lango la adui kama nyuki!

In no time, inapigwa bonge la counterattack na sekunde 10 baadae, tunaokota mpira kwenye nyavu zetu wenyewe!!!

Haidhuru, wapo watakaokuja na kusema... sio kwa Stars hii ya Samatta!
Haha. You rocking
 
Kuishi kwa mazoea na unyonge sasa basi. Raisi wetu Makini JPM ameshasema Taifa kwanza na hawa walioiba rasilimali zetuwatakiona cha moto. Sasa wengi wenu huku hamkubali kwamba ile Tanzania ya mazoea haipo tena.Hii ni Tanzania mpya.HAPA KAZI TUU
 
polisi wazingira mgodi. This does not sounds well at all in business World. Tunaweza kuwa na lengo zur, lkn we can fail to handle issues at ground n interpreted differently by our partners
Acha watu washangilie. Tatizo Watanzania vichwa maji ni wengi sana. hii habari ikilushwa na chombo cha nje ni hatari sana tegemea Wawekezaji kula kona. nani aje kuwekeza kwenye nchi ambayo polisi wanazingira maeneo ya biashara
 
Mkuu wa mkoa sifa yake ni kusoma na kuandika tu, sasa huyo mama anawezaje ku challenge geologists wakati yeye KK mbili tu ndio uwezo wake na ile K ya kuhesabu haina maana kwake. Jibu ni kuwa ameenda pale kutafuta KIKI. Hizi kiki zitatuponza, wakati huu kamati ya wanasheria na wataalam wa uchumi inamalizia kazi ilitakiwa watanzania tuwe watulivu akiwemo mkuu wa mkoa. Sijaona mahali Mh Raisi amewaambia wasimamishe uzalishaji, na TMAA imetumbuliwa uongozi nashangaa wizara imeshindwa kuoganaizi haraka kazi ziendelee kwa mujibu wa mkataba
Wakisitisha tambua kwamba Tutalipa gharama. yaani kana wamesitisha basi gharama zitalipwa na alie agiza wasitihse. uzuri Kodi zipo na hakuna kiongozi atake toa pesa mfukoni mwake kulipa gharama
 
Back
Top Bottom