Polisi wazagaa mitaani

GeniusBrain

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
4,321
Likes
19
Points
135

GeniusBrain

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
4,321 19 135
Nguvu ya Umma ina subiri maamuzi ya Rais wao Dr.Slaa.
Ha ha haaaaaa, nguvu ya umma au ya ushetani ? , nguvu ya umma ni kura na zimeisha pigwa tumemaliza uchaguzi huru na wa haki kwa amani na utulivu. Mungu ibariki Tanzania, Mungua Ibariki Afrika
 

Jayfour_King

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2009
Messages
1,141
Likes
12
Points
0

Jayfour_King

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2009
1,141 12 0
Ha ha haaaaaa, nguvu ya umma au ya ushetani ? , nguvu ya umma ni kura na zimeisha pigwa tumemaliza uchaguzi huru na wa haki kwa amani na utulivu. Mungu ibariki Tanzania, Mungua Ibariki Afrika
Tunajua kinachokuweka hapo kwenye hiyo computer ni pesa za dola kwa hiyo kimsingi upo hapo kwa propaganda na kuganga njaa, inasikitisha jinsi mnavyotuchelewesha.

Mungu habariki UOVU
Well said brother we all love our country.
Kweli ulikuwa huru, je haki?
Inavyoelekea kwenye hilo hawawezi kuwa na majibu.
 

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Messages
2,721
Likes
994
Points
280

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2008
2,721 994 280
Ni zerobrain na sio geniusbrain tafadhali!
ha ha haaaaaa, nguvu ya umma au ya ushetani ? , nguvu ya umma ni kura na zimeisha pigwa tumemaliza uchaguzi huru na wa haki kwa amani na utulivu. Mungu ibariki tanzania, mungua ibariki afrika
 

Forum statistics

Threads 1,203,349
Members 456,712
Posts 28,109,923