Polisi waweka hadharani majina ya Machangudoa hatari

Polisi waweka hadharani majina ya Machangudoa hatari

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,441
Reaction score
166,938
[h=3]HAYA NDIYO MAJINA 15 YA WANAWAKE WA DODOMA HATARI SANA WANAOJIHUSISHA NA BIASHARA YA UKAHABA, JESHI LA POLISI LINAWASHIKILIA[/h]

[TABLE="class: cf hX"]
[TR="class: hR"]
[TD="class: hU hM, bgcolor: #DDDDDD"][/TD]
[TD="class: hV hM, bgcolor: #DDDDDD"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Na.Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limeendelea kufanya msako katika maeneo mbalimbali na kufanikiwa kuwakamata wanawake wapatao 15 wanaojihusisha na biashara haramu ya kuuza miili yao kutoka mikoa mbalimbali nchini. Msako huo ulifanyika tarehe 05/02/2014 majira ya 21:00hrs katika mitaa ya uhindini na Air Port.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi DAVID MISIME - SACP amewataja watu hao kuwa ni:

1. VERONICA D/O JOEL mwenye miaka 23, Mnyakyusa mkazi wa Sai Mbeya.

2. ROSE D/O MICHAEL mwenye miaka 30, Mgogo, Mkazi wa Kikuyu Dodoma.

3. MARIAM D/O JORDAN mwenye miaka 26, Mhehe mkazi wa Tukuyu Mbeya.

4. REHEMA D/O RAMANDANI mwenye miaka 38, Mlugulu makazi wa Airport Morogoro.

5. JOYCE D/O MARTINE mwenye miaka 22, Mnyamwezi mkazi wa Chinangali West Dodoma.

6. FATIA D/O SARATIELI mwenye miaka 20, Mgogo mkazi wa Makanda Bahi Dodoma.

7. BOKE D/O CHACHA mwenye miaka 27, Mkurya mkazi wa Tarime Mara.

8. SWAUMU D/O BAKARI mwenye miaka 23, Mnyamwezi mkazi Chinangali Dodoma.

9. ROSS D/O MASAKI mwenye miaka 28, Mchaga mkazi wa Sanya juu Moshi.

10. SCOLASTIA D/O COSTANTINO mwenye miaka 22, Mnyakyusa mkazi wa Gongolamboto Dar es salaam.

11. HAPPY D/O JULIUS mwenye miaka 31, Mnyamwezi mkazi wa Urambo Tabora.

12. AISHA D/O HASSAN mwenye miaka 38, Mbulu mkazi wa Babati Manyara.

13. JULIANA D/O DOMINICK Mwenye miaka 31, Mnyakyusa, mkazi wa Airport Dodoma.

14. DATIVA D/O LUKWEMBE mwenye miaka 29, Mhaya mkazi wa Kiziba Bukoba Kagera.

15. DORIN D/O MASSAWE mwenye miaka 23, Mchaga mkazi wa Kiboshomaro Moshi.

Aidha Kamanda MISIME amesema katika msako huo watu wawili wanaume walikamatwa wakiwa na mirungi robo kilo katika mtaa wa barabara ya nane (8) Manispaa ya Dodoma ambao ni NASSOR S/O ALLY mwenye miaka 45, Mwarabu mkazi wa barabara ya kumi na AYUBU S/O TEPO mwenye miaka 40, Muarusha, Fundi cherehani mkazi wa Chamwino.

Pia huko katika Wilaya ya Kongwa kijiji cha Mlanje kata ya Matongoro Tarafa ya Zoisa alikamatwa mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la SHEDRACK S/O MACHILE mwenye miaka 46, Mgogo, Mkulima akiwa na Lita 30 za pombe ya moshi akiziuza.

Kamanda MISIME amesema msako unaendelea na amewataka wananchi kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi.

Hawa polisi hawana akili timamu; utawezaje kuwakamata hawa kina mama na kusema wanafanya biashara ya kuuza miili yao bila ya kuwakamata hao wanaonunua bidhaa hizo zinazouzwa? Kama kuna kitu kinauzwa ni lazima awepo mnunuzi ama sivyo hakuna biashara hapo!!!Wakamateni vigogo wa madawa ya kulevya waliopo hapo bungeni badala ya kuwanyanyasa hawa wanawake kijinsia.
 
Safi sana hiyo, next time aweke na picha zao wana maaruni hao.
 
Hawa polisi hawana akili timamu; utawezaje kuwakamata hawa kina mama na kusema wanafanya biashara ya kuuza miili yao bila ya kuwakamata hao wanaonunua bidhaa hizo zinazouzwa? Kama kuna kitu kinauzwa ni lazima awepo mnunuzi ama sivyo hakuna biashara hapo!!!Wakamateni vigogo wa madawa ya kulevya waliopo hapo bungeni badala ya kuwanyanyasa hawa wanawake kijinsia.

Na we unajiuza sh ngapi? Maana umekuwa mkali kweli!
 
Si sawa,si sawa.Police inawaonea hawa wadada.Wawakamate kwanza wanunuzi wa hao akina dada.Alafu nashangaa sana police kukamata hao wadada lakini hawawakamati matapeli wanaotapeli watu kila kukicha.Waanze kwanza na matapeli then waje kwa wanao wanunua hao wadada.Na nyie wadada achen hiyo Biashara ,achen uvivu tafuten njia nyingine ya kupata kipato.Shame on you!
 
Kwa kweli hapo naamini katiba mpya itapatikana,maana hawa wadada wamekuwa wakiwapigisha kwata waheshimiwa usiku kucha asubuhi wanasinzia bungeni,wakiamka wanaunga mkono hoja bila kujua yaliyojadiliwa.
Viva polisi.
 
Si sawa,si sawa.Police inawaonea hawa wadada.Wawakamate kwanza wanunuzi wa hao akina dada.Alafu nashangaa sana police kukamata hao wadada lakini hawawakamati matapeli wanaotapeli watu kila kukicha.Waanze kwanza na matapeli then waje kwa wanao wanunua hao wadada.Na nyie wadada achen hiyo Biashara ,achen uvivu tafuten njia nyingine ya kupata kipato.Shame on you!
Hata pombe haramu ya gongo huwa wanakamata wauzaji.Ni mara chache sana kusikia wamekamata wanunuzi,lkn hata hivyo polisi wamesema msako unaendelea.Na huu ni mtego mzuri,ukishaondoa bidhaa ni rahisi kuwakamata wanaoisaka hiyo bidhaa,kuliko ukiiacha bidhaa hadharani wanunuzi wanaipata kirahisi na kusepa kusikojulikana.
 
------- sana,wanashindwa kukamata majambazi wanaenda kuonea machangudoa.leo hii wanajionyesha kila mahali kwa kazi kuubwa ya kukamata machangudoa.hawa polisi inabidi waamke hatuhitaji kuona machangudoa hapa wakati kuna shughuli kibao za kuzuia uhalifu mngeweza fanya.changudoa anatafuta riziki tu kwa mtaji wa nguvu zake
 
Hawa polisi hawana akili timamu; utawezaje kuwakamata hawa kina mama na kusema wanafanya biashara ya kuuza miili yao bila ya kuwakamata hao wanaonunua bidhaa hizo zinazouzwa? Kama kuna kitu kinauzwa ni lazima awepo mnunuzi ama sivyo hakuna biashara hapo!!!Wakamateni vigogo wa madawa ya kulevya waliopo hapo bungeni badala ya kuwanyanyasa hawa wanawake kijinsia.

Wewe ishia hapohapo, wenzio ndio tunaponeo kwa machangudoa
 
Wekeni hadharani majina ya wawindaji haramu cyo machangudoa wasio na madhara makubwa kwa taifa kama walivyo wauza unga na wawindaji haramu
 
vituko vituko mbona wauza unga wakubwa au hao waheshimiwa wanao wafata hao machangu doa....hamuwaoneshi...dodoma wanaona kuna market kubwa kwaooooo
 
Huyo changu namba 7(saba) akikutajia jina hilo lililoandikwa hapa,unaghaili kumnunua kwa hofu ya usalama wako.
 
Hapo kwenye picha naona miguu ya Mwantumu na Maua, kwenye majina sioni wakitajwa. Au wamemwogopa Ally Kombo?
 
Last edited by a moderator:
next time mtuwekee na namba zao za simu ili tuwasaidie kuwashauri, kuna wengine kama hao wanyakyusa wana usafiri mzuri sema huwa wanakosa sura wakati wachaga wanasura bila usafiri
 
Mafisadi,wezi wa mali ya umma,wala rushwa na wauaji mbona HAWAKAMATWI???? nyambaf
 
Hayo makabila yalio tajwa hapo juu, ni kawaida yao.
 
Back
Top Bottom