Polisi Waunda Tume ya kuchunguza kifo cha Daudi Mwangosi

Hakuna haja ya kuunda tume polisi waliofanya kitendo cha mauaji wanaonekana kwenye picha kamata wafunguliwe mashtaka ya mauaji, halafu kamata wale wote walioradhimisha kufanya mkutano kwa nguvu nao peleka mahakamani fungulia mashtaka ya uvunjaji wa amani.

Haki ya nani leo Ritz umeongea. Kumbe kuna wakati unakubali kusema ukweli? Nimekupa na senkuyu kabisa!!
 
hii ni hofu au ni kitu gani?
 
Last edited by a moderator:
Wakiunganisha movies za mateso ya ulimboka, kijana asiyekuwa na kosa morogoro, mpigania haki Mwangosi basi litakuwa bonge la movie akiwa sterling IGP Mwema, script writer RPC Iringa and Kova, Story teller victims (ohh sorry inabidi watafute wawili wenye kueleza ukweli), yaani movie itakuwa kali halafu wananchi ni majaji!!!
 
966099517.JPG

Hii picha ina majibu mengi sana;
Polisi wanaweza kutumia kila mbinu kujitetea lakini kwa hili wamecheza faulo mbaya...Jaribu kuiangalia kwa makini hii picha na kusoma kitendo cha kila askari. Utagundua kuwa wapo waliokuwa wanawazuia wenzao kuendeleza kipigo kwa mwandishi huyo(angalia movement za askari kanzu mwenye fulana ya bluu, pia kuna askari mwenye kofia nyekundu asiye na kikinga risasi, pia kuna askari upande wa pili mwenye kofia nyeusi)....
Hivyo huyo mwandishi alipigwa tena kipigo kibaya na ndio maana yupo chini akiwa hajiwezi.
Angalia pia mkono wa kulia wa huyo mwandishi, katika kiganja chake ameshika kamera, kwa hilo tu polisi walitakiwa watoe ulinzi maana kitendo cha kuwa na kifaa kama kamera ni ishara kuwa jamaa alikuwa ni mwanahabari naalikuwa katika harakati za kazi.
Halafu pia ukijaribu kuivuta picha kwa karibu utaona kuna kitu kama moshi kinafuka karibu kabisa na mwili wa marehemu na moshi huo unaelekea moja kwa moja katika mtutu ulioelekezwa kwake, moshi huo bilashaka ni matokeo ya bomu lililopigwa na huyo askari wa kushoto kabisa aliyeelekeza mtutu wake kwa marehemu.

Good analysis. Mungu ibariki Tanzania!!!
 
Kwenye hiyo picha mbona unaonekana mkono wa mwandishi umeshika camera bado inaonesha alikuwa hai hapo?

Sasa hilo bomu lilimlipukia peke yake?
 
Kifo cha mwandishi Daudi kilipangwa mimi nilikuwepo kwenye eneo la tukio, hakuna aliyesababisha vurugu isipokuwa Polisi
Chadema walipofika waliruhusiwa kufanya mkutano wa ndani wakati wakijiandaa kusaini kitabu cha wageni na wanachama wengine wakiwa nje amri ikatolewa na viongozi wa chadema kuwa wasio wanachama waondoke kwani hakuna mkutano. sekunde chache Kamuhanda akatoa amri ya watu wote kutawnyika. Wakati wote huo Mwangosi alikuwa akichukua matukio ya pande zote zaidi sana alikuwa jirani na polisi pasipo wasiwasi wowote.

Ndani ya sekunde chache baada ya amri ya kamanda wa polisi kutoa amri watu wakaanza kutawanyika na polisi wakaanza kupiga virungu na mabomu wakati huo hakuna hata jiwe moja lililorushwa. Hapo kweli kuna sababu gani ya kumpiga Mwangosi. Baada ya sisi wote kutawanyika Mwangosi hakukimbia alibaki jirani na polisi pasipo wasiwasi. Baadhi ya watu walijibanza katika nyumba jirani na eneo la tukio na ndio waliopiga picha.

Katika nyumba jirani nyingine polisi kabla ya kuanza kurusha mabomu walisikika wakisema leo lazima tuondoke na maiti kuanzia tatu na wakawawanapigiana simu kuwa baadaye wakae kwenye tv waone matukio ya Nyololo.

Kiukweli Chadema na wananchi hawakuleta vurugu za aina yoyote. Nimeshangazwa sana na kauli ya Kamhanda kuwa wananchi walikuwa chanzo cha vurugu hizo. Haipendezi Kamanda wa polisi kusema uongo wakati wameua kwa makusudi.

Tamko la waandishi wa habari kususia habari za polisi liende mbali zaidi wasusie hata habari za viongozi wa ngazi za juu ambao ndio waliowatuma maana mgari ya polisi ffu yalikuwa mengi takribani sita yakiwa yamejaza askari utafikiri vita. Hata viongozi waliokamatwa na kuburuzwa walikamatwa bila vurugu zozote.

kuhusu kukataliwa kwa mkutano wa chadema

Hapa Nyololo kulikuwa na mikutano miwili wiki nzima ya injili mmoja wasabato walikuwa na mkutano makambi na assemblies walikuwa na mkutano wa hadhara wa injili wiki nzima hata jana walikuwa wanaendelea. Hapo sensa mbona haikuongelewa?

Natoa wito kwa watanzania tuungane pamoja tuikatae serikali dharimu inayoua raia na kuwaacha majambazi na mafisadi vinginevyo tutazidi kudanganywa na hiyo tume ni ya kihuni hakuna sababu mbona kila kitu kipo wazi tume ya nini kamuhanda anatakiwa awe mtuhumiwa namba moja kwa kuua mwandishi yeye akiwa anatoa amri.

Kama mliona anavyotoa taarifa body language inaonyesha wazi kuwa mwongo, hivi anajisikiaje kumuua Daud ambaye alikuwa kazini na wala si katika siasa. Watanzania tuamke tuache uoga serikali yetu imeshindwa kazi, migomo kwa walimu, migomo kwa madaktari, hakuna vifaa mashuleni, hakuna dawa mahospitalini lakini matumizi ya pesa kwa ajili ya kuua raia wasio na hatia.
 
Watanzania ni wajinga na washamba, upeo wa kufikiri ni wa miaka ya 40, wala usipate shida hakuna lolote wala chochote kitakachotokea! Ingekuwa nchi za watu leo hii kamanda alitakiwa awe amejihudhuru maana ushahidi upo wazi wala si wa kutafuta, na inaonekana ilikuwa ni uzembe wa kimzaha wa huyo askari aliyefyatua bomu.
 
Bomu lililipuka sekunde hiyo hiyo au sekunde chache baadaye. Tumia akili vizuri.
 
Hivi Polisi anaruhusiwa kuwa na kadi ya Chama chochote cha siasa?
Nahisi Polisi wetu wanazo kadi za CCM hadi leo.
Hili linatakiwa kuwekwa wazi ndani ya Katiba kuw marufuku Polisi au Mwanajeshi wa JWTZ kuwa na kadi ya chama cha siasa. Including usalama wa Taifa.
 
HATA MIMI PEKE YANGU NINGEKUWA TUME NINGELETA UKWELI USIOTIA SHAKA KUWA RPC wa Iringa amewaongoza vijana wake kuua baaada ya kushindwa kujibu maswali ya Mwangosi
 
Tume ya nini wakati wauaji wanaonekana?pumbavu sana hawa watu.
 
Ahaaaa huyu RPC amemweka marehemu chini ametanda miguu yake, RPC ameinua mkono kama anaashiria mwacheni lakini mbwa wanamng'ang'ania -marehemu bado ameshikilia kamera yake kainua mkono anapiga huku amekandamizwa hapo chini na RPC- huyu aliye upande wa chini ya miguu ya marehemu analenga na aliye mbele kabisa anambana upande wa kifuani - maskini Daudi ameteseka, lakini amekufa akipigana, jasiri! Natamani kuona picha ile ya mwisho ndani ya kamera yake!

Inaashiria nini: kutoka source zingine RPC alitoa amri ya kupiga na yeye akashiriki kupiga lakini nadhani aliona imezidi lakini alichelewa akawa ameshawapandisha midadi hii mivuta bangi - ! Tangu lini Kamanda akaingia ndani ya mapambano, alipaswa kuwa nje ya ulingo pale na angeweza kudhibiti kiurahisi - hata kama kuthibiti huko ni kwa ajili ya kummalizia! Kazi ya Tume ishaisha, sasa IGP unataka nini tena!???? Kwendeni zenu ninyi wauaji, Mungu atawalaani ninyi na vizazi vyenu!
 
Msishangae kusikia kuwa kitu kizito kilichomuua daudi mwangosi ni bomu la kienyeji la kutupwa na mkono. Hadaa hii imepangwa hapa na mpango umesharidhiwa. CHADEMA komaeni sana jambo hili ni kubwa. Mchezo wote utaanzia morogoro au mbeya.
 
Hua ni unafiki hakuna cha uchunguzi hapo. Wanapoteza muda tu polisi wabongo ni wazushi. Wanatia fedheha.
 
966099517.JPG

Hii picha ina majibu mengi sana;
Polisi wanaweza kutumia kila mbinu kujitetea lakini kwa hili wamecheza faulo mbaya...Jaribu kuiangalia kwa makini hii picha na kusoma kitendo cha kila askari. Utagundua kuwa wapo waliokuwa wanawazuia wenzao kuendeleza kipigo kwa mwandishi huyo(angalia movement za askari kanzu mwenye fulana ya bluu, pia kuna askari mwenye kofia nyekundu asiye na kikinga risasi, pia kuna askari upande wa pili mwenye kofia nyeusi)....
Hivyo huyo mwandishi alipigwa tena kipigo kibaya na ndio maana yupo chini akiwa hajiwezi.
Angalia pia mkono wa kulia wa huyo mwandishi, katika kiganja chake ameshika kamera, kwa hilo tu polisi walitakiwa watoe ulinzi maana kitendo cha kuwa na kifaa kama kamera ni ishara kuwa jamaa alikuwa ni mwanahabari naalikuwa katika harakati za kazi.
Halafu pia ukijaribu kuivuta picha kwa karibu utaona kuna kitu kama moshi kinafuka karibu kabisa na mwili wa marehemu na moshi huo unaelekea moja kwa moja katika mtutu ulioelekezwa kwake, moshi huo bilashaka ni matokeo ya bomu lililopigwa na huyo askari wa kushoto kabisa aliyeelekeza mtutu wake kwa marehemu.

Hao Polisi wanamaisha mabaya sana sijui kitu gani kinawafanya wauwe waleta mabadiliko .......watasema marehemu alikuwa anataka kumyang'any'a polisi bomu ndo lika fyatuka ..............kifo cha huyu kujana hakitapita bure na wataka wapenda haki tuungane kwenye hili
 
Watanzania si wajinga kiasi hicho! Hawa polisi wanafikiri wanaisaidia sisiem kumbe ndio wanailekeza kaburini. CCM inakufa, na ni kama kisa cha mfa maji ambaye hajui au amechoka kuogelea, hukumbatia hata kijiti kinachoelea majini, kwa matumaini ya kuokoka!!!!
 
Msishangae kusikia kuwa kitu kizito kilichomuua daudi mwangosi ni bomu la kienyeji la kutupwa na mkono. Hadaa hii imepangwa hapa na mpango umesharidhiwa. CHADEMA komaeni sana jambo hili ni kubwa. Mchezo wote utaanzia morogoro au mbeya.

Mkuu umepatia. Advera Chiallo akihojiwa na Sudi Mnete wa DW leo jioni kasema Kilichomuua mwandishi ni kitu kizito kilichorushwa na kinafanana na kile cha Morogoro. La kushangaza ni kuwa hicho kitu kilipita wapi kisiwadhuru askari waliokuwa wamemuinamia.
 
Hakuna haja ya kuunda tume polisi waliofanya kitendo cha mauaji wanaonekana kwenye picha kamata wafunguliwe mashtaka ya mauaji, halafu kamata wale wote walioradhimisha kufanya mkutano kwa nguvu nao peleka mahakamani fungulia mashtaka ya uvunjaji wa amani.
ritzi kudadako Bilali kafanya nini zanzibar,AHAKUNA SENSA,ACHA ISHU ZA KIJINGA HIVI MBONA KAMA UNAFIRW......... WE GAMBA, Kufa Ulaya Mazishi Afrika la mama yako.
 
Back
Top Bottom